Boxer

majuto mperungu01

Senior Member
Aug 29, 2012
115
21
Naomba kuuliza wakuu hizi
pikipiki aina ya boxer ziko
fresh? Hazisumbui? Na bei yake
ikoje na anaetaka kufanya
biashara na mimi ani pm
Nitashukuru kwa mawazo yenu
 
Naomba kuuliza wakuu hizi
pikipiki aina ya boxer ziko
fresh? Hazisumbui? Na bei yake
ikoje na anaetaka kufanya
biashara na mimi ani pm
Nitashukuru kwa mawazo yenu

pikipiki ni messengers wa vifo tanzania

ni death sentence........ pesa muhimu lakini tafakari imani yako na morals zako
 
baba mi mi ninayo,nimenunua juzi tu.kama upo vema nunua ni bomba,hazina madhara.ila kama unapiga kinywaji mkuu unajitafutia kifo.
 
pikipiki ni messengers wa vifo tanzania

ni death sentence........ pesa muhimu lakini tafakari imani yako na morals zako

tatizo ni behaviour ya waendesha pikipiki. Hata wangeendesha motokaa kwa style yao mbona wangekufa pia?
Pikipiki imekuwa msaada mkubwa wa usafiri for pple who cant afford taxis.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom