Botro pati pati za kutongozana mnazikumbuka?

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Polen mliozaliwa hivi karibuni'wenzeni tulianzishaga pati za kutafuta wenza
ingawa weng waliishia kupotozeana muda na leo wanakutana kwenye shere kila
mtu na bwana wake anyway ni moja ya maisha....je leo hiimbadala ni nini?

Nakumbuka wakiimba wimbo mtu uanajifanya kwenda kucheza kwelihuo wimbo
huku unamsogelea unaemuitaji baada ya muda mkiwa mnacheza unaifwata nyimbo
kidogo kama unaijua alafu unajifanya kumsalimia bibie gafla mnaondoka hata kabla pati
aijaisha wapi sijui...ila wengi walikamatika sana ingawa leo wako na familia zao nyingine

nawatakia mabinti wote waliochomoaga hizi pati na leo wako kwenye ndoa zao furaha njema
na bigup bila kusahau wale waliokamatika wasikate tamaa na kufikiria muda wao yaliopita
sindwele tugange yajayo.....angalia maisha ya mbele usifikirie kwa nini ulimwacha yule
kisa shida unayopata kwenye ndoa huyo ndio umeandikiwa wako milele baanana nae

jion njema jaman
 
Bottle party zilikuwa noma... Mziki bure ila kinywaji unajinunulia! Ole wako uwe hujachangisha hela za tuition afu uzame kwenye party kichwakichwa...
 
Ha ha haaa, kuimba... Halafu lazima uendane na bit kdg hachomoi
 
Polen mliozaliwa hivi karibuni'wenzeni tulianzishaga pati za kutafuta wenza
ingawa weng waliishia kupotozeana muda na leo wanakutana kwenye shere kila
mtu na bwana wake anyway ni moja ya maisha....je leo hiimbadala ni nini?

Nakumbuka wakiimba wimbo mtu uanajifanya kwenda kucheza kwelihuo wimbo
huku unamsogelea unaemuitaji baada ya muda mkiwa mnacheza unaifwata nyimbo
kidogo kama unaijua alafu unajifanya kumsalimia bibie gafla mnaondoka hata kabla pati
aijaisha wapi sijui...ila wengi walikamatika sana ingawa leo wako na familia zao nyingine

nawatakia mabinti wote waliochomoaga hizi pati na leo wako kwenye ndoa zao furaha njema
na bigup bila kusahau wale waliokamatika wasikate tamaa na kufikiria muda wao yaliopita
sindwele tugange yajayo.....angalia maisha ya mbele usifikirie kwa nini ulimwacha yule
kisa shida unayopata kwenye ndoa huyo ndio umeandikiwa wako milele baanana nae

jion njema jaman

Hivi wewe upo darasa la ngapi?
 
Kwa chagga people hii haikuwepo,ni ilikuwa kuvizia tu,unapiga mtama unajibebea unapeleka home,hakuna wa kuhoji kwa nini umemteka binti wa watu.
 
Back
Top Bottom