Boti yazimika baharini leo mchana

<br />
<br />

MV Serengeti, ni moja ya meli zinazoenda huko Pemba na lenyewe limechoka, ilikuwa ya Bakheresa akaiuza kwa 400 millions tu,
inasemekana kwamba siku ambayo MV Spice Islander inazama hii MV Serengeti iliiona na zilipishana lakini ilishindwa kusaidia lolote maana ilikuwa imejaza kuliko ile iliyozama.
Yaani hata kama ingeongeza mtu mmoja tu na yenyewe ingezama.

dah.. kumbeee.. mimi nilikuwa najiuliza kwanini.. ile meli iliwaacha wenzao wazame.. kumbe nayo ilikuwa Full ...
 
eheeeee tuone lile tamko lao la kijinga sasa kama litafanya kazi bila tume....
 
tuendelee kuomba kwa mungu sana, kwani vyombo vyetu vingi vya angani na baharini vinapumulia mashine.
 
Angani kuna Precision air na wenzake, Baharini kuna Mv Serengeti na wenzake, nchi kavu kuna Mabasi na vidaladala kila kukicha ni ajali kwenda mbele, Sokoni vyakula vimepata, Mafuta ndio usiseme na Serikalini wamejizatiti na Kikosi cha kutubiga Mabomu pindi tukiwa tumechoka na Manyanyaso. Sijui Watanzania wenzangu tunapumua vipi ili tuandokane na haya Mabalaa na wala sio Mungu anayetulitea bali ni sisi wenye ndio tunaolea huu Ujinga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom