BOT yazindua sarafu ya tsh 50,000

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
519
Benki kuu ya Tanzania BOT imezindua sarafu mpya ya Tsh 50,000/= iliyotengenezwa kwa madini ya fedha ambayo itauzwa katika mabenki kwa ajili ya shamrashamra za miaka 50 ya uhuru je wachumi mliobobea mnalionaje hili na hali ya uchumi wetu ulivyo kwa sasa je ni nani atakubali yaani ununue sarafu ya kufungia chumbani khaaaa!!!!! source tbc jambo leo saa 1 asbh.
 
mi mwenyewe sielewi kwani TBL c ndo haohao BOT fedha inatolewa na BOT tunakunywa bia za TBL na TBL wanapeleka hela BOT aaaghhh sielewi
 
Indicators moja wapo kubwa ya hela kushuka thamani kwa kiasi kikubwa ni kuwa na sarafu au note moja yenye figure kubwa!so ni kwa ajili ya maonyesho tuu,!au italetwa kwenye money circulation!??
 
Nadhani hayo yanasababishwa na kasi ya kushuka kwa thamani sh. Tz dhidi ya dola. Kwa sababu jinsi inavyoshuka kwa hovyo utadhani mtu mwenye tumbo linaloendesha.
 
Benki kuu ya Tanzania BOT imezindua sarafu mpya ya Tsh 50,000/= iliyotengenezwa kwa madini ya fedha ambayo itauzwa katika mabenki kwa ajili ya shamrashamra za miaka 50 ya uhuru je wachumi mliobobea mnalionaje hili na hali ya uchumi wetu ulivyo kwa sasa je ni nani atakubali yaani ununue sarafu ya kufungia chumbani khaaaa!!!!! source tbc jambo leo saa 1 asbh.
Hii ni dhahiri kbs ya kwmb UCHUMI imezidi kudidimia, mpk leo jirani wetu Kenya hawana hata noti ya shilingi 10,000 halafu hawa mafisadi wanatuletea ujinga wao. ACHA WATATUMIA WENYEWE,wajinga wakubwa!
 
Hii ni dhahiri kbs ya kwmb UCHUMI imezidi kudidimia, mpk leo jirani wete Kenya hawana hata noti ya shilingi 10,000 halafu hawa mafisadi wanatuletea ujinga wao. ACHA WATATUMIA WENYEWE,wajinga wakubwa!

Indicators moja wapo kubwa ya hela kushuka thamani kwa kiasi kikubwa ni kuwa na sarafu au note moja yenye figure kubwa!so ni kwa ajili ya maonyesho tuu,!au italetwa kwenye money circulation!??

Nadhani hayo yanasababishwa na kasi ya kushuka kwa thamani sh. Tz dhidi ya dola. Kwa sababu jinsi inavyoshuka kwa hovyo utadhani mtu mwenye tumbo linaloendesha.

Jamani, eleweni thread!

Hii noti ni just ceremonial denomination, na haitaingia kwenye mzunguko wa fedha!

Ila kitendo cha kutengeneza sarafu hii mimi nakiita ulevi tu, maana ni kuchezea rasilimali za nchi, na kutafuta means zote za kujiongezea kipato 'kichafu' kwa baadhi ya maofisa wa BoT!..

Sarafu hiyo itasaidia nini!

Eti kwaajili ya kusherekea niaka 50 ya UHURU,, uhuru wa nani?, nani yuko huru?, nani ameshauri upumbafu huu, na nchi inayosherekea uhuru huu ni ipi, kuna Tanganyika hapa?, Wakoloni weusi wameenda wapi!, ....my hairs!

Ni wangapi(percentage-wise) ya waTanzania watakuwa na uwezo wa kuinunua fedha hiyo kwa purpose ya kuiweka mchagoni kama pambo?

Lakini watangulizi wetu walishasema kuwa dalili ya mvua ni mawingu!...ukiona inatengenezwa sarafu ya denomination hiyo ujue kuwa hiyo idea ndiyo iliyopo vichwani mwa maafisa hawa, na believe me or not, this note is on the pipeline, and soon or later you will test its bitterness!

Shenzi kabisa!
 
Jamani eeh, hizo noti hazitatumika kwa malipo. Ni mbwembwe za walioshiba ktk kusherekea Miaka 50 ya UHURU wa kujichotea hazina ya Taifa bila kuulizwa. Unanunua NOTI yako, unaiweka kwenye fremu na kuipamba chumbani.

Kwa sisi ambao hatujapata uhuru bado, kwetu ni kama kejeli. UHURU wanao mafisadi na familia zao na kudhihirisha hilo subiri uone kama kuna litakaloendelea kwa Jairo Luhanjo & CO Exploiters (T) LTD
 
Kama wamezindua hiyo inamaana inatumika au ni kwa ajili ya maonyesho tuu?? Huko ni kushuka kwa uchumi vibaya sana angalau ingekuwa ya 20,000/= lakini from 10,000/= to 50,000/= shilingi itakuwa thamani imeshuka sana
 
Jamani, eleweni thread!

Hii noti ni just ceremonial denomination, na haitaingia kwenye mzunguko wa fedha!

Ila kitendo cha kutengeneza noti hii mimi nakiita ulevi tu, maana ni kuchezea rasilimali za nchi, na kutafuta means zote za kujiongezea kipato 'kichafu' kwa baadhi ya maofisa wa BoT!..

Noti hiyo itasaidia nini!

Eti kwaajili ya kusherekea niaka 50 ya UHURU,, uhuru wa nani?, nani yuko huru?, nani ameshauri upumbafu huu, na nchi inayosherekea uhuru huu ni ipi, kuna Tangantika hapa?, ....my hairs!

Ni wangapi(percentage-wise) ya waTanzania watakuwa na uwezo wa kuinunua fedha hiyo kwa purpose ya kuiweka mchagoni kama pambo?

Lakini watangulizi wetu walishasema kuwa dalili ya mvua ni mawingu!...ukiona inatengenezwa noti ya denomination hiyo ujue kuwa hiyo idea ndiyo iliyopo vichwani mwa maafisa hawa, na believe me or not, this note is on the pipeline, and soon or later you will test its bitterness!

Shenzi kabisa!
[/QUOTE]

Hiyo bluu nimeelewa sasa muanzisha thread hajatuambia hivyo. Thanks in advance

But hiyo red mmmmhhhh kwani umeamkaje PJ leo???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom