Bot vipi?

Nafasi za BOT zina ushindani sana, kuna kipindi walitakiwa watu wanne tu ila zilikuja barua zaidi ya buku.
 
Kuna jamaa namfahamu alipata ajira ana MSc Finance na CPA ameshaingia kwenye ajira pale sasa sijui wewe qualifiication zako
 
Kuna mshikaji ameshaitwa kwenye interview ya tatu sasa. kama hujaitwa probably hukufikia minimum requirement.
 
BOT is a disgrace; they do not even use their web-site efficiently to inform the people of what is taking place in that institution. They advertise vacant posts but they do not post the outcomes of those positions once they have made their decisions; not only that ,they don't even up-date their web-site!!
 
my dear honestly walishaita watu kwenye interview ya written walikuwa watu 17 mtihani ulikuwa masaa 2 na nusu na sio siri this time kama ulipeleka kimemo unapigwa chini mapema tena all my friends wenye vimemo walipigwa chini but yule ambaye alikuwa hana ndo aliyeitwa but ali admit paper lilikuwa limesimama
 
Back
Top Bottom