BoT Saga Unfolding: Ilikuwa Balali auwawe kwa sumu- Fununu !

16th January 2008
Mwafrika wa Kike,
.
.

Sitashangaa akinywa sumu na kujiua. Kinachotokea sasa kinanikumbusha siku za mwisho za Maboutu. Mgonjwa anakimbia huku na huku, mwisho Ballali ataishia kufia na kuzikwa ugenini na watu wachache maana hata marafiki aliokuwa anakula nao wataogopa kwenda.
 
Oh Ballali can't you just stay dead please or just come out from wherever you are!

Nawaomba wengi ambao wamejiunga na JF katika kipindi cha miaka chini ya miwili, mjaribu kupitia hoja za kabla ya hapo, mtajifunza mengi na mtaelewa kwa nini JF ilistahili hilo jina la "home of great thinkers !" Kumbukeni haya;

Not everyone who chased the zebra caught it,
but he who caught it chased it.

Until the lion has his or her own storyteller,
the hunter will always have the best part of the story.


The truth always shows up like a bad habit - yes, my friends, the ugly truth does show up like a bad habit, but only if you think, you have a reason to hide from it!
 
subirini muambiwe "ametoweka" baada ya serikali kutuma mtu kumfuatilia huko "hospitali" walikomuacha. Si umewahi kuona kwenye movie when the bad guys wanaingia hospitali kumtafuta mtu wao halafu jamaa anatoroka toka "muhimbili"..?
ulilotabiri ndilo lililo tokea. Hongera MM
 
Nawaomba wengi ambao wamejiunga na JF katika kipindi cha miaka chini ya miwili, mjaribu kupitia hoja za kabla ya hapo, mtajifunza mengi na mtaelewa kwa nini JF ilistahili hilo jina la "home of great thinkers !" Kumbukeni haya;Not everyone who chased the zebra caught it,but he who caught it chased it. Until the lion has his or her own storyteller, the hunter will always have the best part of the story.The truth always shows up like a bad habit - yes, my friends, the ugly truth does show up like a bad habit, but only if you think, you have a reason to hide from it!
Time to open our parachutes before we hit the ground.
 
:juggle::smash::hatari::sleepy::alien::confused3: and many more...lets wait and see maana sarakasi na vitimbwi vingi Tanzania hii...kwa hiyo inawezekana mfu kafufuka!
 
kuna vuguvugu la kumfufua balali linaendelea hapa. Hakika tutajionea na kusikia mengi
 
:juggle::smash::hatari::sleepy::alien::confused3: and many more...lets wait and see maana sarakasi na vitimbwi vingi Tanzania hii...kwa hiyo inawezekana mfu kafufuka!

Kwa Mungu anavyoionea huruma serikali yetu ya Tz wakati huu ikiwa kwenye wimbi kubwa la ufisadi lazi atamfufua tu ajekuimbua ccm ambapo ninavyoamini mwisho wa ubaya ni aibu basi ndo wakati wa ccm kuaibika
 
Mtega hutegwa! Siku moja kabla ya kuanza kutapika kwa nguvu Bw. Balali inadaiwa alienda kupata msosi wa nguvu na mmoja wa viongozi wastaafu katika hali ya "kucatch up" na mambo yanayoendelea.

Ilikuwa ni baada ya kutoka huko ndiyo maumivu ya tumbo yalipoanza na kuanza kutapika. Kwa vile, ujanja ni kuwahi siyo kupata, Balali alijumlisha moja na moja na jibu likaja kuwa ni mbili, akachukua tiketi yake akaruka na kuwahi hospitali!

Kwanini hakutaka kwenda hospitali ya Taifa au yoyote nchini? Balali alihisi chochote kilichomsumbua kilitokana na chakula...Ukichanganya na madhaifu mengine aliyokuwa nayo... ilikuwa arudishe namba kiulaini kabisa! Lakini wakati mwingine dua la kuku halimpati mwewe! Jamaa amesavaivu, so far.

Kuna mambo kadhaa yanayoweza kutokea.

a. Balali kudai ukimbizi ambao anatengenezewa na serikali ya Tanzania, kwa jinsi wanavyomtengeneza vibaya na hivyo akasema "fear of persecution" ambayo ni ground for political asylum.

b. Balali kutoweka ki namna. Katika ulimwengu wa plastic surgeries na Identity protection, Balali anaweza kubadilishwa sura na wajihi wake kiasi kwamba itakuwa vigumu kumfahamu ukiondoa kichwa chake ambacho jinsi kilivyoumba sidhani kama kuna Daktari anaweza kukibadilisha.

c. Kwa vile hakuna mkataba wa extradition kati ya marekani na Tanzania (sidhani kama upo?) Balali hatalazimishwa kurudishwa Tanzania isipokuwa kwa makubaliano maalum.

d. Balali anajiandaa kujibu mashambulizi na kurusha nyavu yake pana ya ushahidi na kusema nani alifanya nini. Kama kuna watu wanadhania Balali alifanya yote hayo bila kucover his behind, washtuke. Balali, anajua nani na nini kilifanyika kwani SITOSHANGAA kuna nakala za vimemo kadhaa toka kwa watu mashuhuri na baadhi ya mafaili yao yaliyokuwa BoT aliyahamisha na kuyaweka mahali fulani akijua kuwa siku moja anaweza kupata kibano.
Huyu ndo the brain! MM Mwanakijiji!!
 
Kwahiyo akifa sasa watajamzika Tz siyo kwa vile atakufa ukweli
 
Back
Top Bottom