BoT Saga Unfolding: Ilikuwa Balali auwawe kwa sumu- Fununu !

Hii inawezekana kabisa kuwa ni PR kutoka URT na serikali ya kichaka. Technically, that's exactly what happened, that is Ballali's visa being revoked. Lakini kitu ambacho hawasemi ni kuwa, hii inamaanisha kuwa ile immunity ambayo gavana alikuwa nayo kutokana na wadhifa wake (diplomatic), iliisha pale kibarua chake kilipoota mbawa. Lakini yeye binafsi bado anaweza akawa na hiyo visa.

Kuwa au kutokuwa na visa hicho si cha msingi. Naamini hii ni danganya toto ili wadanganyika watulie. Binafsi naona kuwa URT (Chenge, Mgonja, Mramba, BWM, etc) wamemtosa Ballali ambaye ni samaki mdogo tu. Kuna papa wakubwa wanaohusika katika soo hili ambao wanalindwa huku Ballali akifanywa kafara.

Mkuu,

Hata mimi niliamini hivyo lakini sasa baada ya kusoma statement ya ubalozi naona sio hivyo. Kwasababu serikali ya Tanzania imemwulizia (hiyo ni diplomatic term, maana yake ni kubwa zaidi ya hiyo) basi tayari amehusishwa na corruption na USA haiwapi visa watu wanaotuhumiwa kwa corruption.

Hivyo ndiovyo nilivyolielewa hili suala kwasasa. Kila saa habari mpya zinakuja kwahiyo labda baadaye inaweza kuwa tofauti.

Lakini mpaka sasa naona ngoma inamshinda Ballali, serikali wameamua kumvaa, inaelekea yeye hana majibu. Ni kibaka tu, anapiga kelele kwamba hajaiba huku kila mtu anaona ameiba, mafuta yanamwagwa, imebaki kiberiti kuwashwa.

Hili ni fundisho sana kwa wasomi mafisadi. Ballali hakuwa na sababu ya kutuibia maana kwa kufanya kazi IMF na BOT alikuwa na pesa za kuishi kama King mpaka anakufa. Lakini mataa yakizidi, Waafrika tunataka tushindane na Bill Gate kwa mapesa.
 
Mimi naona Ballali hakwenda kutibiwa kule. Ndiyo maana alipoondoka hakupewa visa ya kwenda kutibiwa badala yake aka-apply official visa. Vilevile sababu zinazonifanya niamiani hivyo ni jinsi ambavyo hospital aliyolazwa kushindwa kufahamika wakati condition ya mgonjwa inajulika. Wanatuchezea mazingaombwe mpaka tukichoka tunanyamaza. Hivi kweli mnafikiri JK ana ubavu wa kum-sucrifice mtu yeyote wa SISIM. Ndiyo maana ulaji unarudi kama enzi za AHM!!!
 
I think that we all have to agree that however repugnant Balali is in his ufisadi, he is a brilliant Harvard educated tactitian.
Balali is aware that he holds the key to this scandal, he can make it go away or blow it up. He can disappear conveniently and let the storm blow over, or come out na kulipua bomu lake.
He chose deliberately to go to the US, ambako ni kama nyumbani kwake (second home).
Siamini kama ile viza aliyopewa kama gavana ndiyo uwezekano pekee ya yeye kuendelea kukaa nchini. America has millions of illegal immigrants ambao wameingia mitini the same way. He can do the same. What he had to weigh is whether he gets on a plane and flies to Malta or wherever or he stays.
I think both scenraios are possible, that he is in the US still, au that he flew to Malta etc. I think tactically it is more convenient for him to remain in the US. When the US government is facing a lot of budget constraints, they will not waste public money to send the FBI after him, he can slip into the grey zone.
Kuhusu kuumwa kwake, personally there's a lof of info out there but I think that after connecting the dots:
- alikuwa mgonjwa na alikuwa hospitali, lakini sasa hivi hayupo tena hospitali. Think: why did Dr Ndulu insist,"Kama kuumwa anaumwa kweli!" Lakini nadhani hii kuumwa kwake aliwahusisha posse yake na wao walikuwa wanajua yuko wapi. It is through this posse that he had sent the letter etc.
- The resignation letter was a way for Balali to 'test the waters'. Alipoona wamezima barua yake, aliona hata washikaji wake aliowaamini wamemtosa.
- Until this point, alikubali 'kulindwa' na walijua whereabouts zake. Lakini that was the turning point na aliwapotea!
- Since then he has become a ghost, wanamsikia tu, oh alikuwa hapa au hapa etc. Na yeye anafanya kila jitihada kufikisha ujumbe through relatives. Kwanza kwamba ana file na atamwaga info wakimbana. Pili, conflicting information about his whereabouts. Tatu, story kuhusu kupewa sumu. Brilliant tactic kwani nobody knows anything!
- I think we should give the guy more credit, he has devised a sophisticated sham to steal billions, and he will use extra creativity to save his neck.
I agree with Mwafrika wa kike, he should be kept alive to tell his story, and I have a nagging feeling he will
Naomba niweke wazi that what I wrote is connecting dots from what I have read and the statements from public figures in the media (assuming that they are lying or telling the truth), these are not cold hard researched facts.
 
Mtega hutegwa! Siku moja kabla ya kuanza kutapika kwa nguvu Bw. Balali inadaiwa alienda kupata msosi wa nguvu na mmoja wa viongozi wastaafu katika hali ya "kucatch up" na mambo yanayoendelea.

Ilikuwa ni baada ya kutoka huko ndiyo maumivu ya tumbo yalipoanza na kuanza kutapika. Kwa vile, ujanja ni kuwahi siyo kupata, Balali alijumlisha moja na moja na jibu likaja kuwa ni mbili, akachukua tiketi yake akaruka na kuwahi hospitali!

Kwanini hakutaka kwenda hospitali ya Taifa au yoyote nchini? Balali alihisi chochote kilichomsumbua kilitokana na chakula...Ukichanganya na madhaifu mengine aliyokuwa nayo... ilikuwa arudishe namba kiulaini kabisa! Lakini wakati mwingine dua la kuku halimpati mwewe! Jamaa amesavaivu, so far.

Kuna mambo kadhaa yanayoweza kutokea.

a. Balali kudai ukimbizi ambao anatengenezewa na serikali ya Tanzania, kwa jinsi wanavyomtengeneza vibaya na hivyo akasema "fear of persecution" ambayo ni ground for political asylum.

b. Balali kutoweka ki namna. Katika ulimwengu wa plastic surgeries na Identity protection, Balali anaweza kubadilishwa sura na wajihi wake kiasi kwamba itakuwa vigumu kumfahamu ukiondoa kichwa chake ambacho jinsi kilivyoumba sidhani kama kuna Daktari anaweza kukibadilisha.

c. Kwa vile hakuna mkataba wa extradition kati ya marekani na Tanzania (sidhani kama upo?) Balali hatalazimishwa kurudishwa Tanzania isipokuwa kwa makubaliano maalum.

d. Balali anajiandaa kujibu mashambulizi na kurusha nyavu yake pana ya ushahidi na kusema nani alifanya nini. Kama kuna watu wanadhania Balali alifanya yote hayo bila kucover his behind, washtuke. Balali, anajua nani na nini kilifanyika kwani SITOSHANGAA kuna nakala za vimemo kadhaa toka kwa watu mashuhuri na baadhi ya mafaili yao yaliyokuwa BoT aliyahamisha na kuyaweka mahali fulani akijua kuwa siku moja anaweza kupata kibano.
Mwanakiji mara zote hua napenda kusoma unachandika leo UMENISTUA mbona umeliangalia upande mmoja wa shilingi?

Pia umesahu kua aliposti hii thread amedai kua sumu alipewa DODOMA na ww leo unaonyesha another sennario btn ur lines chakula cha jioni hicho hakijulikani wapi DODOMA or Dar, Tukio unaloongelea ni lile lililo ongelewa mwanzo ktk post ya kwanza?

Ni vizuri Mkaangalia hili jambo tofauti kidogo, Kwanini isiwe amejipa sumu mwenyewe? later akabadili mawazo na kuwahi hospitali kutibiwa?or Familia yake ikaamua kumuwahisha ktk matibabu?

Pia mjifunze kauli za watu na msizibadili Serekali/kikwete hajamfukuza balali ila AMETENGUA UTEUZI WAKE WA UGAVANA kauli ya kufukuza ni yenu wana HABARI ambao always hua mnabadilisha kauli zawatu.

Mnasahau kua huyu jamana aliteuliwa na leo katenguliwa means anarudi ktk ajira yake ya mwanzo MNALISAHAU HILO?

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
subirini muambiwe "ametoweka" baada ya serikali kutuma mtu kumfuatilia huko "hospitali" walikomuacha. Si umewahi kuona kwenye movie when the bad guys wanaingia hospitali kumtafuta mtu wao halafu jamaa anatoroka toka "muhimbili"..?
 
Yaleyale ya Kolimba!... The System.
Sikujua kama JK ni miongoni mwao. Eeeh Mungu wee JK mwogope Mungu wako na mkumbuke rafikio Mwaikambo aliyeondoka ukalia kama mtoto....
dUH WAACHENI TU HAWA MFISADI WAENDELEE NA MCHEZO WAO MCHAFU WA KUCHIFUPA WENZAO.NA KUNA SIKU WATASHANGAA BALALI ATAZINDUKA NA KUWATAJA WOTE
 
Hv Baba wa Taifa na huyu Balali nani alikuwa ni mtu muhimu ktk TZ? na hata kama ni suala la usiri maybe kwa usalama wa any of them ipi ingekuwa more sensitive? Nyerere au Balali. Inashangaza kuona serikali ilitueleza ugonjwa wa mwalimu, mahali alipo na updates za afya yake almost kila siku (Anyways hawakujua nini nini kitakuja kutokea mbeleni). And now comes this crook! eti inaonekana ni siri nzito tena ya serikali. Hapo ndipo naamini kwamba kuna something fishy! na lolote linalosemwa ni rahisi kuliamini kwa sababu as of me sina source yoyote ya info kuhusiana na jambazi hili!
 
Mimi naona Ballali hakwenda kutibiwa kule. Ndiyo maana alipoondoka hakupewa visa ya kwenda kutibiwa badala yake aka-apply official visa. Vilevile sababu zinazonifanya niamiani hivyo ni jinsi ambavyo hospital aliyolazwa kushindwa kufahamika wakati condition ya mgonjwa inajulika. Wanatuchezea mazingaombwe mpaka tukichoka tunanyamaza. Hivi kweli mnafikiri JK ana ubavu wa kum-sucrifice mtu yeyote wa SISIM. Ndiyo maana ulaji unarudi kama enzi za AHM!!!
HEEEE mr zero ni kweli haya ni mazingaombwe tu mana kama ni kweli alikuwa anatibiwa na serikali kwa nini mpaka sasa hataki kusema kalazwa wapi huko marekani?Mi naamini walimchifupo na ndio mana hawataki kusema man walija atakufa kabla mambo hayajatibuka sasa mungu kawaeeleza na wajue wazi MUNGU SI WACCM PEKEE
HATUKUBALI HAPA MPAKA KIELEWEKE
 
[/COLOR]
subirini muambiwe "ametoweka" baada ya serikali kutuma mtu kumfuatilia huko "hospitali" walikomuacha. Si umewahi kuona kwenye movie when the bad guys wanaingia hospitali kumtafuta mtu wao halafu jamaa anatoroka toka "muhimbili"..?
HAPO SASA ITAWABIDI WATUELEWESHE WADANGANYIKA HUYU JAMAA KATOROKEA WAPI SIE TUNAHITAJI MAELEZO YUKO WAPI NIMEANZA KUPATA MASHAKA PENGINE KESHATOWEKA HUKO MAREKANI.

HATUKUBALI HAPA MPAKA KIELEWEKE
 
subirini muambiwe "ametoweka" baada ya serikali kutuma mtu kumfuatilia huko "hospitali" walikomuacha. Si umewahi kuona kwenye movie when the bad guys wanaingia hospitali kumtafuta mtu wao halafu jamaa anatoroka toka "muhimbili"..?
Ulimwaga "unabii" mkuu! Heshima kwako!
 
kaka hapo umezingua story umeweka kimizengwe weka kila kitu hadharani watu wajue unaweka kama siries movie kutuacha tusijue la kufanya.
 
The whole idea is to reveal the truth about this problem once and for all. There are people who have met Balali alive after he was declared dead. He was seen with a top brass of the past regeem. From this truth many would wish to be dead. Then the Tanzania it will be upto judiciery system to give a free and fair verdict on the issue.
Truth is what stands the test of experience.
 
Mzee Mwanakijiji is of another level for real..
Ndio maana mimi huwa nachukua muda kupinga hoja zake maana kama jinsi Muumba alivyotuumba sura tofauti basi hata uwezo wa kufikiri ni tofauti! Huyu Mzee ni hazina ya pekee tusiyotambua thamani yake bado! Hebu msome vizuri kila sentensi na kilichokuja kutokea!
 
Duniani hakuna siri ya watu wawili. Itakuja kujulikana tu hata baada ya miaka mingi and those responsible will pay.
 
Back
Top Bottom