Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BoT INASEMAJE KUHUSU MALIPO YA KODI ZA NYUMBA KWA FEDHA ZA KIGENI??

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by bwegebwege, Dec 25, 2010.

 1. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,033
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wana JF;

  Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikiona wenye nyumba au ofisi/warehouses za kupangisha wanawadai wateja wao kulipa kwa fedha za kigeni (hasa US Dollar)

  Mimi nauliza kitendo hiki kina athari gani katika mzunguko wa fedha na uchumi wa nchi kwa ujumla? Ni kwa nin basi BoT wasiidhinishe matumizi ya US Dollar katika mzunguko wa fedha wa kia siku i.e. kwenye biashara za rejareja, manunuzi na mauzo ya vifaa vya mtumiaji n.k?

  Kama si sahihi/au kama kitendo hiki kinaathiri uchumi au kinamuathiri mtumiaji BoT wanapaswa wachukue hatua gani kudhibiti atahri zaidi zisitokee (kisheria)?

  Nawasilisha huku nikiwatakieni Heri ya Krismas na Mwaka mpya wenye mafanikio!
  Asante
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,235
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  I think hapa wengi huwa wanaqoute in US Dollars lakini unalipa in Tshs kulingana na value ya dollar kwa siku hiyo. Pesa yetu inafluctuate sana... na ni rahisi mtu akiweka bei in US $ ambayo ni more stable hususan kwa watu wanaoagiza bidhaa kutoka nje.
   
 3. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,102
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Kuna thread Bubu Ataka Kusema aliianzisha kuhusu dollarization in Tanzania itafute kuanzia nyumba mpaka vocha za simu tukazitaja athari zake tunawashukuru vocha wameondoa in dollar bado kodi za nyumba maana hii ni sumu katika uchumi wetu na ndio moja ya sababu kuu shillingi yetu inaporomoka kila siku.
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  You mean hata hizi nyumba wanaagiza kutoka nje in terms of dollars? Pls try to be sincere to yourself. Sote tunajua kilochopo hapa ni ulafi wa hali juu na kutokujali watu wengine baada ya wenye opportunity kuzitumia na kujenga nyumba na kuzipangisha! Lengo la mabepari ni kunyonya and squeeze dry the poor! In most cases there is no justification ya nyumba iliyopo sinza hata mwenge kupangishwa kwa mswahili in terms of dollars!
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,235
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  hapana kaka nimesema hususan kwa watu wanaoagiza bidhaa kutoka nje...... siungi mkono kwamba ni vema kufanya hivyo natafuta justification ya wao kufanya hivyo.
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  tatizo unakuta hata machinga anayetembeza vitoto vya mbwa maeneo ya victoria anaquote bei in dollars! Huko mbele itabidi BoT wafanye kama Zimbabwe, kwani inaonekana dollar ni nzuri hata kwa mvuto kwa vingozi wetu ndo maana wako kimya pamoja na malalamiko yote!
   
 7. mzozaji

  mzozaji JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2010
  Joined: Jul 28, 2010
  Messages: 257
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama huna viwanda na asilimia 90 ya bidhaa madukani una-import kwa dola unategemea nini?
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 50,162
  Likes Received: 9,853
  Trophy Points: 280
Loading...