Bot call for interview

Jemedary

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
212
72
Wana Jf kama uliomba post za BOT Bank officer jamaa wametoa notification kwenye email zenu embu cheki
November 2 kitahappen
 
Sio ustaarabu kubandika majina hadharani hivyo wengine hapo wana kazi hawachelewi kufukuzwa wakijua unatafuta kwengine.
 
haahaaa kazi kwelikweli yaani majina tu ya aptitude wameishaanza kuchakachua watu wanaandikwa majina mara mbili mbili wengine tatu eg VAILETI MAZUGE na wengine wengi tu anyway its all good
 
Sio ustaarabu kubandika majina hadharani hivyo wengine hapo wana kazi hawachelewi kufukuzwa wakijua unatafuta kwengine.
Duh Wa +255 watu wa ajabu sana kwaiyo kueka majina kama ivo sio vizur sio?na wengine wanasema tuekee majina tuyaone au mbona siku zote yanaweka usemi au kwakuwa wewe umeitwa na una kazi nyingine??we kama upendi wenzio wanataka kuyajua mbna simple option acha usidownload kaa nayo mbali.........................watu dairly hapa wanaeka majina ila hata usemi ila aya ya BOT unaona sio ustaarabu kwa kuwa umeitwa wewe na una kazi
kwani kutafuta kaz wakati una kazi nyingine ni zambi?
 
Au kavutwa na nduguye huko anaogopa asitambulike kama uhamiaji
 
Sisi tufanyaje sasa.? Kwani mtu mwenye kazi haruhusiwi kuomba kazi nyingine yenye maslahi zaidi.? ACHA UNDEZI

ni kweli aisee..siwezi acha kuomba kazi yenye maslahi mara mbili na ninayofanya sasa eti kwa kuwa nina kazi tayari..cha muhimi ni kuwa na sifa za kucompete
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom