Boss wangu katukanwa

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Mzazi mwenzangu ameamua kupiga cm na kumtukana kila mwanamke niliye msave katika cm yangu.
Matokeo kanitukania boss wangu .

Naomba ushauri nimfanyeje huyu na hapo cjamuoa bado..!
 
Mna Issue kubwa sana za Ku-sort out.....,
Mzazi mwenzako ustaarabu umemshinda.

Hana ustaarabu kabisa hata boss wangu kaniambia "mfundishe ustaarabu" sasa cjui ni mrudishe kwao akafundishwe ustaarabu.
 
Piga ili siku nyingine asirudie tena kama amekuhisi una vimada basi afanye uchunguzi na siyo kurupuka...kama kama kupiga huwezi mpe rikizo ya miezi anagala mitatu akakae kwao afunzwe...
 
Mzazi mwenzangu ameamua kupiga cm na kumtukana kila mwanamke niliye msave katika cm yangu.
Matokeo kanitukania boss wangu .

Naomba ushauri nimfanyeje huyu na hapo cjamuoa bado..!
Pole sana

kama bbosi ni muelewa basi hatakusumbua au kukuchukulia hatua ila ni vyema umuonye huyo mkeo au hata ikibidi utafute wenye umri na busara wamfunze kwani hiyo tabia ni mbaya na inaonyesha ushari na kutojiamini kwake

Mjengee confidence na trust ili muishi vyema but always maintain strength ya kukataza mambo ya kijinga kama hayo

Na wewe nae ulimtoa wapi mtu mshari hivyo kama chanjila?
 
Piga ili siku nyingine asirudie tena kama amekuhisi una vimada basi afanye uchunguzi na siyo kurupuka...kama kama kupiga huwezi mpe rikizo ya miezi anagala mitatu akakae kwao afunzwe...
hahahaha na wapigaji tutawajua humuhumu..umpige umemzaa weye huyo!
 
Hujasema ulimkwaza nn hadi afikie uamuzi huo. Naamini yeye sio chizi iko sababu. Pengine umemwonyesha weye ulivyo kicheche uzalendo ukamshinda. kama vipi, mpige chini wengine watadaka!
 
Piga ili siku nyingine asirudie tena kama amekuhisi una vimada basi afanye uchunguzi na siyo kurupuka...kama kama kupiga huwezi mpe rikizo ya miezi anagala mitatu akakae kwao afunzwe...

Mie sio mkurya!
 
Mmmhhh kwanini hajiamini..
kwa kweli anamatatizo binafsi...
Ambayo anapenda kutolea kwa watu wengine..
 
Hujasema ulimkwaza nn hadi afikie uamuzi huo. Naamini yeye sio chizi iko sababu. Pengine umemwonyesha weye ulivyo kicheche uzalendo ukamshinda. kama vipi, mpige chini wengine watadaka!

Mkuu hakuna kosa litakalo-justify wewe kutukana watu baki sasa hao wote aliowatukana wana kosa gani?
 
Khaaaaa!We Shosti na huyo mtoto/watoto unaweza kuwaambia wamezaliwa na kichaa?!
sasa kuna dalili ya uzima hapo kweli,utatukanaje watu hovyo kama umzima....au uzima unapimwa kwa kipimo gani jamani nisaidieni hapo!
 
Hujasema ulimkwaza nn hadi afikie uamuzi huo. Naamini yeye sio chizi iko sababu. Pengine umemwonyesha weye ulivyo kicheche uzalendo ukamshinda. kama vipi, mpige chini wengine watadaka!

Mimi si malaika. lakini sidhani kama amefanya ustaarabu wa kumpigia kila mwanamke wengine ni walimu wangu wengine akina mama watu wazima naheshimiana nao .
 
sasa kuna dalili ya uzima hapo kweli,utatukanaje watu hovyo kama umzima....au uzima unapimwa kwa kipimo gani jamani nisaidieni hapo!
Hata kama...sio haki kuwatupia dharau wanaomhusu (watoto/mume/wazazi)....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom