Boss wangu anataka kunifukuza kazi sababu ya SEX.

Yaani we subordinate unafurahia mshahara ddnt you think kwamba huyo BOSS hawezi kuwa na shida ya pesa...............tumia pie kama pie 22/7 au 3.14 hapo hesabu itakwisha laaa sivyo REMAINDER THEOREM...........rushwa ni rushwa tu......ulitaka toa pesa yeye anataka mwili huo


he he he! naomba tumia kiswahili chepesi, hicho kiingereza kimenishinda ili nielewe.
 
Erotica, wakati ukifikiria cha kufanya juu ya huyo boss
Naomba unipe kwanza zile laki 5 ulimpakwenye bahasha
maana hazipo tena in your budget, sio rizki yako tena...


teh teh teh. Mwali nimekuomba kiss umezuga, kama utakubali kiss yangu nitafikiria.
 
Last edited by a moderator:
tena kama umeolewa ndio raha
m
unampa kiulaini maana hata usipompa wa ofisini wa nyumbani utampa tu.

Huwa wanasema mwanamke akiolewa anakuwa ch.p mkononi
(jamani wengine hapa mruke tu)

Umeolewa?
 
tena kama umeolewa ndio raha
m
unampa kiulaini maana hata usipompa wa ofisini wa nyumbani utampa tu.

Huwa wanasema mwanamke akiolewa anakuwa ch.p mkononi
(jamani wengine hapa mruke tu)


Hivi hili suala linaendana vipi na mtu kuolewa ama kutoolewa?

Ukiwa umeolewa unarespond tofauti na ukiwa haujaolewa?
 
Kingine ni kwamba unaweza mpa rushwa hiyo ukaongoka na zawadi ya JULIANA (ukimwi) maana Dunia haiko safe now days hizo pesa utazifurahia kwa muda then utaanza kununulia dawa za kurefusha maisha.Think twice kabla hujachukua uamuzi utaakaoujutia.Mungu akutangulie na afanye njia ya kutokea katika hili unalopitia
 
teh teh teh. Shosti ulitaka niwe nakuranya nini? mie niliota tu navutiwa na

wewe kwa pozi zako wakati unaoga. labda uniruhusur ni describe pozi na mwili wako.

Ningependa ungekuwa unanifanyia massage! LOL. Go ahead, si wandotoni tu!
 
Kongosho huwezi jua labda nitapata mwajiri hapa ambae anaweza nipa

kazi nzuri zaidi ya hio. hapo chini nimesema hanivutii.


Try to make this as your new "Fantasy"............having sex with my boss:peace:




Pole sana mianaume mingine noma sana........kwa kifupi inaonekana jamaa hajui kuimpress to create attraction,kaona atumie madaraka yake akupate.....hovyooo
 
Kwanza umrekodi hata sauti kwenye simu halafu umwambie uhakika akikufukuuza umemrikodi na utaituma takukuru. Actually ulishamripoti kwa mtu fulani na kopi ya hiyo sauti yake anayo.
 
Try to make this as your new "Fantasy"............having sex with my boss:peace:

Pole sana mianaume mingine noma sana........kwa kifupi inaonekana jamaa hajui kuimpress to create attraction,kaona atumie madaraka yake akupate.....hovyooo
Laigwanan nilikumiss..
A%20S%20465.gif
yule mwamaume wa ndotoni boss hafananii hata kidole seuzi??
 
Last edited by a moderator:
Bei gani? naona hio lak tano ifanye hio kazi, ila sasa kua catch hapo, si nitakua

nishamvulia? haileti raha EMT. Nia yangu nisimvulie kabisaa!

Kwa mla rushwa huwa anakamatwa kivipi?
Hiyo ni ya kumwekea mtego.
Wahi fasta hiyo laki 5 usimpe Mwali bana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom