kasingo
Member
- Oct 17, 2010
- 67
- 21
Ha ha ha ha! Sasa ukirudi ofisini ukigongana nae uso kwa uso si unaweza kucheka! Maana umemmwagia mitusi yote ye hajui.
Yaani ukikutana nae unatabasamu kidogo alafu kimoyomoyo unasema ungejua nilivyokutukana nahisi ungelia