Boss wako akikuudhi unamfanyaje?

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,772
23,160
kichwa cha habari chahusika...... huyu binadamu aliyeko mbele yangu kwa ngazi moja nimfanyaje?
ndo maana wengine wanarogwa, maana akiondoka kiti chake nakalia kero zinaisha...
 
Ukikikalia kiti chake, kuna mwingine atakuwa juu yako tena.
Labda ujiajiri.

Mie nikiuudhiwa kupindukia, nabega mabegi yangu kwa siku hiyo, naita siku hata kama ni saa 2 asubuhi.
 
nimeamua niende town nikatafute viatu........inakera sana



Ukikikalia kiti chake, kuna mwingine atakuwa juu yako tena.
Labda ujiajiri.

Mie nikiuudhiwa kupindukia, nabega mabegi yangu kwa siku hiyo, naita siku hata kama ni saa 2 asubuhi.
 
Inategemea kaniudhi kwa jambo gani! Kulingana na hilo jambo ndio nitajua nichukue hatua ipi.
 
sipendi kabisa boss anaependa kunibughudhi...sikawii kumnyea maneno ili na yeye akasirike...
 
Daima, mtaka cha uvunguni, lazima ainame. Inategemea uko vp kimaisha. Lakn kama maisha yako ndo yana tegemea chanzo hcho kwa kipato, ni bora kuvumilia. Kwani hakuna maisha dunia hii yasiyo na changamoto. Wangu mtazamo.
 
mi maudhi yalizidi nikashindwa kuvumilia,hii ni wiki ya tatu tangu niresign.
 
Mwombee tu, nawe mwombe Mungu akupe hekima ya kuendana naye. Usije ukaishia kwenda kwa wachawi.
 
Sasa mie nimekasirika sana sasa hivi
Lakini nimejikasirikia mwenyewe tu wala haihusiani na bosi

Sasa nifanyeje?
 
Unamkunja, washa makofi then unasepa tena kama ni mhindi unamtemea na mate!
 
Tafuta movie inaitwa.....Terrible Bosses......utafurahi....
 
By Preta "Tafuta movie inaitwa.....Terrible Bosses......utafurahi.."

Me niliwahi kuona movie moja inaitwa " Horrible Bosses" sijui kama ndo ze same au tittle za kichina?
 
Sasa mie nimekasirika sana sasa hivi
Lakini nimejikasirikia mwenyewe tu wala haihusiani na bosi

Sasa nifanyeje?

Jiagizie Jack Daniels.. Upige double mbili za fasta.. Agizia na sigara aina ya Benson & Hedges,washa na uvute Kongosho...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom