Boss wa zamani wa IMF Strauss Khan afutiwa mashitaka

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,369
33,011
Mashitaka ya jaribio la kubaka yaliyokuwa yakimkabili Boss wa zamani wa IMF Bw. Dominic Strauss Khan yametupiliwa mbali.

Hii ni kwa mujibu wa CNN Breaknews!
 
Yataachwa kutupiliwa mbali hali walicholenga yoote wametimiza??

Siasa bana... yaaani uchafu mtupu!!
 
Credibility credibility credibility!!

Plus he say-she say-he say-she say. You can't convict on that.
 
but still ataweza to run for french presidency..i guess

Ndio anaweza... lakini kurudisha zile point of popularity haiwezi kua that simple....

It will be like starting all over again... na strain yake itakua sio mchezo...
 
Lakini hii kesi ya DSK inafunzo kkubwa kwetu tanzania. DSK alijiuzuru just kwa tuhuma tu hata kama alifunguliwa mashtaka kuna msemo "innocent until proven guilty" kwa maana hiyo angeweza kusimamia hapo na kung'ang'ania madaraka. Kwa bongo hii kitu haipo, kwanza watuhumiwa ndio wanatetewa ati "hatuwezi wachukulia hatua kwa tuhuma tu" na hadi kampeni tunawafanyia dah
 
Ndio anaweza... lakini kurudisha zile point of popularity haiwezi kua that simple....

It will be like starting all over again... na strain yake itakua sio mchezo...

basi sarkozy is done
kwani hii kesi ilipoanza 60 percent ya wafaransa walisema its a set up....
 
basi sarkozy is done
kwani hii kesi ilipoanza 60 percent ya wafaransa walisema its a set up....

Unajua this whole issue imekakaa ka vile tu ilikua kuhakikisha Khan asiwe part of the

Process no matter Sarkozy a-succeed au lah! For it is common knowledge kua

they know kusema kwa wakati huu kuhusu kutupiliwa mbali kesi ya Khan yaweza mu affect at a big time...
 
actually biggest loosers ni waafrika..
under khan imf was more friendlier to africa than
under any time in history....hata tanzania tulipata
rescue package faster na more easier
but wazungu ma supremacist walikuwa wanamchukia khan
kwa mambo hayo pia..
na hata ifm under him walipo predicts kuwa india and china
wataipita usa by 2050,wamarekani walim maindi ile mbaya...
so the set up had many hands in my opinion...
 
Back
Top Bottom