Boss na sekretari matata

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Boss aliingia afisini mwake asubuhi huku akiwa amesahau kufunga zipu ya suruali yake na kukumbana na sekretari aliemuuliza boss..je,ulipotoka nyumbani umekumbuka kufunga geti ya mahala unapoegesha magari yako?

Boss akafkiria kwa mda na hakumjibu.

Baadae Boss akaenda haja ndogo na loooh! Akapata kumbe zipu yake iko wazi na ndipo akakumbuka maneno ya sekretari.

Hapo akarudi haraka na kumuuliza sekretari, ulipoona geti ya mahala ninapoegesha magari yangu pako wazi je,umeona BMW imeegeshwa hapo?

Sekretari nae akamjibu,la Boss ila nimeona BAJAAJ imeegeshwa ikiwa na tairi mbili zilizoisha pumziiii.
 
Sekretari ni kiboko, hana woga, safi sana nini kusifia kuwa ni BMW wakati ni KABAJAJI!! nahisi boss lilimshuka sana.
 
Boss angemwuliza Secretary ikiwa hiyo Bajaj ilikuwa imepark kusubiri abiria au ilikuwa inahangaika kutafuta abiria.
 
Boss aliingia afisini mwake asubuhi huku akiwa amesahau kufunga zipu ya suruali yake na kukumbana na sekretari aliemuuliza boss..je,ulipotoka nyumbani umekumbuka kufunga geti ya mahala unapoegesha magari yako?
Boss akafkiria kwa mda na hakumjibu.
Baadae Boss akaenda haja ndogo na loooh! Akapata kumbe zipu yake iko wazi na ndipo akakumbuka maneno ya sekretari.hapo akarudi haraka na kumuuliza sekretari, ulipoona geti ya mahala ninapoegesha magari yangu pako wazi je,umeona BMW imeegeshwa hapo? Sekretari nae akamjibu,la Boss ila nimeona BAJAAJ imeegeshwa ikiwa na tairi mbili zilizoisha pumziiii.

Mmm! Hii kali huyu secretary wa ukweli,kwani boss hajui kama anamiliki BMW au bajaj-ameipata.
 
hahahahaha......angemwambia ulpoona geti liko wazi panya......trousermouse
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom