Boss Amtaka Wa ubani wangu

babuwaloliondo

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
378
174
Wandugu, poleni kwa mihangaiko, katika kile nisichokitarajia, my immidiate boss amekuwa akimtaka wangu wa karibu.
Ijumaa imebidi wangu wa ubani inipe mkanda wote, ila kuanzia jana na leo, boss hawezi hata kuongea nami, anaazira kabisa, nipeni ushauri?.
by
Babu

Sijaona msingi wa swali lako,tatizo ni mpenzi wako kutongozwa au nini?

mkate kidevu,....ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa!......babuwaloliondo_ameona dili yako ya kikombe imechina ndio anaanza kukuletea za kuleta,....mpe za chembe huyo.....kwani uboss mpaka kwa mwandani wako,....oooooooooh no

Sijaona msingi wa swali lako,tatizo ni mpenzi wako kutongozwa au nini?
Ndio hilo, ila zaidi ni kuwa imenichukua muda kuamini, maana bosi ni mshikaji, lakini napata shida hata kufanya kazi nae.
Ndio naomba ushauri wenu?

Ndio hilo, ila zaidi ni kuwa imenichukua muda kuamini, maana bisi ni mshikaji, lakini napata shida hata kufanya kazi nae.

Ndio naomba ushauri wenu?

Kama mpenzi wako katongozwa how is that become your problem?Huwezi kuzuia kumegwa achilia mbali kutongozwa!Acha mawazo kwenye mambo ambayo yako nje ya uwezo wako,hautakuwa na uwezo wa kumzuia au kumpangia namna ya kutumia mwili wake,na hilo sio suala lako,ukienda kinyume achana nae!Hilo ndo unaweza kulifanya!

Demu wako naye mnafanya naye kazi sehemu moja? Mwambie bosi hali halisi akizengua mpe bakora halafu utafute kazi sehemu nyingine! Bosi kitu gani asikuharibie ndoa.

Kama mpenzi wako katongozwa how is that become your problem?Huwezi kuzuia kumegwa achilia mbali kutongozwa!Acha mawazo kwenye mambo ambayo yako nje ya uwezo wako,hautakuwa na uwezo wa kumzuia au kumpangia namna ya kutumia mwili wake,na hilo sio suala lako,ukienda kinyume achana nae!Hilo ndo unaweza kulifanya!

Kama mpenzi wako katongozwa how is that become your problem?Huwezi kuzuia kumegwa achilia mbali kutongozwa!Acha mawazo kwenye mambo ambayo yako nje ya uwezo wako,hautakuwa na uwezo wa kumzuia au kumpangia namna ya kutumia mwili wake,na hilo sio suala lako,ukienda kinyume achana nae!Hilo ndo unaweza kulifanya!

Ni kweli uyasemayo kwan hukai naye 24hrs muda mwng upo kazn

mwambie dem wako ajitambue muulize si ana bwana? (ambaye ni wewe) basi ajiheshimu coz yeye mwisho wa siku ndiye mwenye uwezo wa kufanya maamuzi

Huyo mpenzi wako naye mnafanya naye kazi hapo hapo? Au bosi wako amemfahamu kupitia kwako kwa kuwa ni mshkaji wako? Ndio maana siku zote mimi huwa nasema the only person you trust about your partner is yourself!

Kama hujamuoa, jiulize ulimpataje? ukisha jibu, jiulize huyo boss wako kitamshinda nini kumpata?

Wako ni wa ndoa ya halali, ambae si wa ndoa na wenzako wanasema wao.

Similar Discussions

Back
Top Bottom