Mkuu mods wakuzawadie mbs maana sio kwa ufukuzi huuInasikitisha kwelii
Hahaha mkuu nimeona nifanye hivyo maana vijana twajisahau twala tunda kimasihara tuu bila kingaMkuu mods wakuzawadie mbs maana sio kwa ufukuzi huu
Bado tu Wajinga wanadai pombe ni starehe nzuri sana nakati mbali na maambukizi pia husababisha sodomizing/uf*r*ji kupatikana kirahisi kama huyu dada yalivyomtokea kwa kutojitambua kiakili.Malaya huyo, hanalolote, , unakunywa bia za bure halafu unadai unafanywa bila condom.Kwanza kwanin unapo kua kwnye date unywe pombe, je pombe unazimudu vipi? uzembe na kutok kua makini kumemfikisha hapo, aishi kwa matumaini , UKIMwi sio kifo ni hali tuu , afuate masharti, akumbuke kua yeye ana bahati ya kuufuata ukiwmi kunawengine Umiwi una wafuata wao bila kutaka (Wanao pata maambukizia wakati wakuzaliwa na wanao ambukizwa mahospitalini kwnye ajali na kwa uzembe usio husisha ngono) ajihesabu kama ni mmoja wenye bahati, kwa vile amesha jigundua mapema , basi aanze kujipanga kula vizuri mazoezi freshi na AVR mapema , zitamuongezea siku zaidi ya wale wanao chelewa kuanza dozi.