Born town men/women vs bush stars men/women (whats your choice)

mie napenda maborn ulaya...kwabza lugha haipigi chenga...free apirited hawana ufala wakibongo bongo...independent thinkers...na they live life not to impress but to enjoy to the fullest

Hahahaaaaa! Hili lako jipyaaaa! Mi born ulaya thiwapendagi hao, TOO SMART FOR MY TASTE, Hawaongiiii hataaaa! Uthawa kwenye kila jambo hadi KUOSHA VYOMBO!!!!!!! DAMN!!!!!!!! Ukimuomba ela anthema si una za kwako? Hawa watu kwao equality ni equality kwelikweli!!!!
 
We mbaaaaaaaaaayaa! Nimekukubali! Sasa unajigawaje kupenda watu wawili wasioendana? Mimi Bush stars napenda nione amemuoa rafiki yangu wanaongeza viwanja tu! Ila mie hapanaaaa!

Hawanisumbui kabisa, kwavile najua kila mmoja anapenda nini...
 
Wakubwa zangu shikamooni!!!

My brothers and sisters from another mother ! Niajeeeeeeeeeeeee!


Leo nimeleta mjadala wa kizushi tu, wewe mwenzangu wapenda nini kati ya Born towns na bush stars??

Sifa za Born Town

Wazee wa kula bata na kuweka heshima bar na kitaa. Full kupendeza, hata kumtambulisha mbele za watu si haba!, Usafiri wa haja, nyumba kupanga full contained, mnaishi sinza kwa wajanja no porini.

Hawawazi kesho wala nini, ponda mali kufa kwaja, Mda wote wapo kuimpress peoples na kutafuta ujiko, life style ya kuweka heshima kitaa, demu wake lazima uwe classic mda wote sio nywele wiki mbili.

Hawawazi matumizi kabisaaa,hawapendi stress , na wengi si waoaji hadi wagonge 40, Watu wa company sanaa na vikundi vikundi na ukifulia unatengwa ASP

Watu wakutafuta furaha ilipo , hata wakioa vigingi kidogo ndoa chaliiii! Wanatafuta replacement. Yaani wako very interesting na kudumu nao ni survival of the fittest.


Sifa za Bush stars
Watu wa kubana matumizi na kufanya maendeleo, kutwaa wanajenga! Gari la kubana mafuta, Si watu wa mashauzi kabisaa mambo yao mdogo mdogo.

Future yote wamejiandalia hadi 10 years zijazo wanajua watakula lini na watalala wapi. Ukiishi nao ni investing,investing and more investing.

Anasa za chopping money marufuku! Mpango kuwasaidia ukoo wote kijijini

Wavumilivu sanaaaaa! your future with them is reliable!

Kuishi ni mbezi huko kwenye nyumba yenu, ndani ndani.

No kuweka heshima mpango kutafuta maendeleo.




Mie kutokana na itikadi zangu za ponda mali kufa kwaja my take ni BORN TOWN kwa sanaaaaaa! Tomorrow will take care of itsself!!! LOL! Utajuaje kama kesho utakuwepo?

Umenifumbua macho aisee.... basi mke wangu alinichagua kwa sababu mimi wabush...
 
Back
Top Bottom