Bora uzuri au tabia?

Angalia mwenye vigezo vyote tatizo lako naona unatafuta mwenye sura kama miss world
 
ndugu ukitaka kuoa, kifupi nalushauri yafuatayo
1.angalia awe ana tabia nzuri,
2. awe mcha Mungu, mwanamke kama sio mcha Mungu ni rahisi kubadilika tabia
3. awe ni mtu unayempenda, usioe tu ilimradi ndugu wanataka uoe
4. sura iwe nzuri ya kawaida ili usipate taabu maana akiwa mzuri sana kama hana msimamo utanyang'anywa mzee

kumbuka mke mwema anatoka kwa Bwana, Muombe Mungu atakuongoza cha kufanya

Nakutakia kila la heri
 
bora sura tabia bonus.
uzuri wa sura ni kwamba from genesis unajua huyu tupo wengi hence utajikitaa kivileee
 
Sura isiwe mbaya sana, na hata yako pia isiwe mbaya sana ili mbalance, chagua tabia ya kawaida cz huwez change tabia ya mtu mazeee.
 
WanaJF naombeni mnisaidie kwa ili nabishana sana nadadazangu wao wanataka niwaletee mwanamke mzuri tabia sura yoyote, wakati mie naamini mwanamke sura tabia ntambadilisha mana naogopa kuna wanawake wengine tabia utapenda ila sura mhh balaa,naogopa kuwanyima watoto raha kama wakifwata sura hiyo ya mama yao mwenye tabia nzuri washindwe hata gombea Miss Beachkidimbwi!

Karibuni!!!!!!!!

Mi naangalia kalio tu kama ni singida dodoma
 
....Uzuri wa mke ni tabia, akibahatika kuwa na mengineyo ya ziada basi hiyo ni big plus kwa mume mtarajiwa.
 
........ it depend.......... beuty+ tabia mbovu + kichwani hakuna
ugly + tabia nzuri + gr8 thinkers

beuty + tabia mbovu + kichwa hakuna = no maendeleo
ugly + tabia nzuri + gr8 thinker = maendeleo ya kumwaga na wato kusoma vizuri

sasa amua mwenyewe unachagua formula ipi. Upate watoto warembo waingie kwenye u-miss lakini in the end wawe another W....a S...Ku au uchague formula ya 2 watoto wa kawaida lakini the next R...e Mi....ro
Kazi kwako.
 
SURA ndio kila ki2, yanini uoe mwanamke wakati w kwenda out unamtanguliza mkeo mbele.
 
WanaJF naombeni mnisaidie kwa ili nabishana sana nadadazangu wao wanataka niwaletee mwanamke mzuri tabia sura yoyote, wakati mie naamini mwanamke sura tabia ntambadilisha mana naogopa kuna wanawake wengine tabia utapenda ila sura mhh balaa,naogopa kuwanyima watoto raha kama wakifwata sura hiyo ya mama yao mwenye tabia nzuri washindwe hata gombea Miss Beachkidimbwi!

Karibuni!!!!!!!!

...wengi wape....mwenye sura nzuri lakini tabia mbofu 'atakuwa' si wako peke yako...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom