bora ukimwi?

Outlier, nimekushauri kuwa hizo facts ziweke kivyako acha kuchangia mchango wangu, changia thread!, fact gani unazitaka zaidi ya hiyo link niliyoitoa, nawewe bandika literature inayoonyesha kuwa good diabetic care ELIMINATES long term complications, na hapa tuanazungumzia majority ya diabetics, ambao hata mlo mmoja ni shida kuupata,. Ninaposema thread ni philosophical hata huelewi maana yake, we unataka madesa ya ki-technical unayoyaita facts, tell the forum your OWN VIEWS on the subject!
 
umeni-address three times; nashangaa unaposema "tell the forum" wakati wewe wani-tell mimi.
kifupi ni kuwa;
1. HIV/AIDS ni uniformly fatal - yaani even after how many years/treatment bado itakuondoa wakati diabetes with good control ya blood sugar waweza ku-survive

2. Dawa za HIV/AIDS ni lazima kunywa aina 3 ama zaidi, na mara nyingi frequency ni mara 3 au zaidi kwa siku wakati kwa kisukari either dawa moja ama at most 2 na possibly mara moja ama mbili tu kwa siku.

3. Dawa za HIV/AIDS zina side effects nyingi zaidi ya dawa za kisukari, partly kwa sababu unakunywa dawa nyingi

4. Complications za kisukari (ambazo ni chache uki-control sukari vizuri) zaidi zaidi ni macho, figo, mishipa ya fahamu na moyo wakati complications za HIV/AIDS ni systems zote za mwili (zilizotajwa na zingine zote zinazobaki eg GIT nk), tena HIV/AIDS inasababisha mpaka kuongezeka risks za cancer kama kaposis sarcoma na nyingine nyingi.

5. HIV/AIDS kuna hatari ya kuambukiza wengine wakati diabetes huwezi kuwaambukiza wengine

6. HIV/AIDS ukipata watu wanakunyanyapaa na kukusuta (tatizo kubwa) kwa hiyo inakuathiri sana ki-psychologia wakati kisukari watu hawakunyanyapai na mara nyingi wanakuonea huruma hivyo ki-psychologia unakuwa better off

7. Mwisho, katika perspective ya community, HIV/AIDS ni tatizo kubwa kuliko kisukari shauri ya kuathiri watu wengi na matatizo kede kede yanayohusiana nayo.

Ni hayo tu kwa sasa;

waweza kujikumbusha hapa HIV/AIDS Symptoms, Transmission, Diagnosis, Treatment and Prevention on eMedicineHealth.com

kwa wenye kisukari;
punguza ama acha kunywa pombe
fanya mazoezi regularly
kula vyakula vyenye fiber kwa wingi, na proteins - matunda, mboga mboga, maharage, usiache wanga ila punguza, pia mafuta mazuri ni yale yatokanayo na mimea eg alizeti
kama umeanza dawa tumia kama inavyoshauriwa
usivute sigara
pima mara kwa mara sukari yako
 
umeni-address three times; nashangaa unaposema "tell the forum" wakati wewe wani-tell mimi.

Dawa za HIV/AIDS ni lazima kunywa aina 3 ama zaidi, na mara nyingi frequency ni mara 3 au zaidi kwa siku wakati kwa kisukari either dawa moja ama at most 2 na possibly mara moja ama mbili tu kwa siku.
Outlier, sorry naku-adress mara ya 4, hakuna jipya kwa videsa ulivyobandika hapa, hizo ni nadharia ambazo hazija-adress mada na usiwatishe watu kuhusu regmen ya ARV, hiyo frequency ya kunywa ARV sijui ni ya mwaka gani, nakushauri uende CTC ya karibu nawe, mwone hata medical attendant atakuelekeza ARV regmen, usiwapotoshe watu hapa.

Sasa nikuongoze kuchangia mada iliyo mbele yetu, fikiria hali halisi kwa kulinganisha watu masikini wawili, mmoja anapata ARV na wa pili ana KISUKARI, yupi kati ya hao ana better outlook, ukizingatia mfumo wa afya uliopo kuhusu magonjwa hayo mawili.
 
siku hizi regimen zikoje? nipe 1st line tu kwa adult inatosha, maana wewe utakuwa mzuri kunielewesha kuliko medical assistant.
 
AIDS, drug prices and generic drugs

Jamani mnaosema nafuu matibabu ya kisukari kwa mtanzania wa kawaida hebu asome vizuri link hapo juu. Hivi kweli mnadhani Ukimwi ni cheaper kuliko kiharusi? Sema tu kuna dawa nyingi za msaada za Ukimwi lakini watanzania wanaoweza kuafford ARV without the help of these Donor Funded Projects ni wachache, ni hapo sasa upate huo msaada.
 
pamoja na uwepo wa dawa za HIV/AIDS kwa msaada wa donors - sio wagonjwa wote wana-access nazo.
1) NGO zinazotoa huduma hizo ziko sehemu chache tena ni mjini - watu wa Busanda, Nkasi, Ikombandulu sidhani kama hata wamewahi kusikia kuna kitu kinaitwa CTC. Dar es salaam kwenyewe - kati ya wagonjwa elfu arobaini wanaohitaji dawa, nusu ya hao tu ndio wamefikiwa; kwa hiyo kupiga kelele tu kuwa dawa zipo sio sahihi; zipo lakini hazijawafikia wagonjwa.
2) Matumizi ya ARVs yanahitaji monitoring ya mara kwa mara; nasikia hizo CD4 machines zapatikana kwenye specialized hospitals tu; sasa unasemaje kwa wagonjwa wanaokaa huko Lindi na Masasi, kwa mfano tu?
 
Nakubaliana na wewe mkuu ndiyo maana ukisoma mwisho wa post yangu ni mpaka upate huo msaada. Pia umeona link niliyo weka? Dawa za ARV zina gharama ambazo mtz wa kawaida kumudu hawezi.
 
haya masuala ya Ugonjwa nafkir hakuna bora kwani yote yana tabu kubwa wala mtu wa kisukari asijisifu juu ya yule mwenye ukimwi eti kwa hoja ya kufa au mateso, aah! kwani yupo anojua muda wake? au cku hizo vidonge vinaongeza cku alizopanga muumba? Sio mbaya ikiwa ni kwa minajili ya kujipatia pesa lakini hapo hata utumie ipi kama chali tym imewadia ni lazma utasepa tu, wakti mwngine vitu hivyo vipo ktk kupeana moyo na kupunguza madhila ya ugonjwa,
 
Dawa za HIV/AIDS ni lazima kunywa aina 3 ama zaidi, na mara nyingi frequency ni mara 3 au zaidi kwa siku wakati kwa kisukari either dawa moja ama at most 2 na possibly mara moja ama mbili tu kwa siku

Outlier, hizo ni story za 80s,
naishia hapo kwa vile nimeshakupata, sina msaada zaidi ya hapo.
 
Mkuu, hata kisukari unaweza ukapunguza makali yake kwa kufuata masharti.

Mimi nina kisukari huu mwaka wa 12 nafata masharti,naweza sema Diabetese imenibadili kuwa na afya zaidi,nalala masaa 8,nakula balanced diet,nafanya mazoezi,nafanya check-up mara moja kwa mwaka.Hamuwezi amini nakimbia 3km mara mbili kwa wiki pamoja na mazoezi mengine.
 
unalinganishaje maisha ndani ya magonjwa yote mawili. Ni suala la msingi kufaham
 
Ndio baadhi ya watu wanavyosema. Hata mimi nimewahi kuwaza hivyo kabla ya kusikia kwa watu. Hii dhana ni dhidi ya ugonjwa wa kisukari ambao una masharti magumu hasa kwa mtu wa kipato cha chini. Huu usemi unaweza kuwa sawa au nu upotoshaji tu?

MZIWANDA,
Naomba Mungu aepushie yote mbali.
Hakuna ugonjwa bora.
 
MZIWANDA,
Naomba Mungu aepushie yote mbali.
Hakuna ugonjwa bora.

haya ni majibu mepesi kwa maswali magumu. Tukisema kila kitu tumwachie Mungu hatutafika. Dhiki tumeumbiwa wanadam so tuikabili. Labda angepatikana mwenye vvu nae atueleze kwani wa kisukari tayari
 
Ngwasuma lilianza kutesa late 70s, Kwa TZ Clinical Case ya kwanza ililikuwa-diagnosed mwaka 1983 na kuhusu ARV zilianza kutumika late 80s (History of AIDS: 1987 - 1992)

Same story different perspectives; HIV was discovered in 1983 by a French Scientist and 1984 by an American Scientist. HIV/AIDS treatment with combination Antiretroviral drugs began in early 1990s.
Check
na

http://www.hivmedicine.com/hivmedicine2007.pdf
 
uzuri nimeshauguza mgonjwa wa ukimwi,NA WA KISUKARI!

kutoka moyoni nachelea kusema kwa sasa BORA UKIMWI!
 
Back
Top Bottom