Bora ubunge ufutwe tu! - Serukamba

MwafrikaHalisi

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
1,741
510
Mh. Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba kwa kupitia account yake ya twitter (let's hope it is not hacked)anaendelea kutetea wabunge kuongezewa posho.

Amediriki kwenda mbali kidogo kwa kusema kama mnaona tatizo la wafanyakazi wa umma kulipwa kidogo basi ubunge ufutwe kabisa ili wafanyakazi wa umma wapate mishahara minono.

Nanukuu 'tweets' zake kama ifuatavyo ( @serukamba ) kupitia twitter.com :


serukamba
@ RT DM FAV TR
Msiwe na monopoly ya akili
jamani na kudhani wengine
hawafikili you are wrong dam
wrong!
12:02 via Twitter for
BlackBerry® retweeted once
serukamba
@ RT DM FAV TR
Mshahara wangu ni 2560000
kabla ya kodi! Upotoshaji
tuache!
11:51 via Twitter for
BlackBerry®
serukamba
@ RT DM FAV TR
Tujifunze na tuvumilie
wanaofikilia tofauti tujadili
hoja matusi sio uungwana!
11:48 via Twitter for
BlackBerry®
serukamba
@ RT DM FAV TR
Anayesema alipoteza kura
yake ! Kwanza naamini
hakunichagua ! Na hatuwezi
watu wote kuna msimamo
sawa!
11:47 via Twitter for
BlackBerry®
serukamba
@ RT DM FAV TR
Let us think msikwepe hoja
yangu! Mnaonaje tukifuta
bunge! Ili tupate pesa nyingi
tulipe watumishi vizuri
11:45 via Twitter for
BlackBerry®
serukamba
@ RT DM FAV TR
This is the radica thinking
tujadili ! Tufute bunge ili
watumishi walipwe vizuri !
11:34 via Twitter for
BlackBerry® retweeted once
serukamba
@ RT DM FAV TR
Hakuna kuzira ! Kama nyie
mnaishi bila kuwa wabunge na
sisi tunaweza kuishi bila
ubunge! Tufute bunge kuondoa
maneno!
11:04 via Twitter for
BlackBerry® retweeted twice
serukamba
@ RT DM FAV TR
Hakuna panic we can live
without ubunge! Tufute tu!
Tumesoma tutafuta kazi
kwingine!
11:00 via Twitter for
BlackBerry® retweeted once
 
Huyu KOMATA kwanza Kura zenyewe alishinda kwa wizi wa Magamba.Zitto Kabwe alipoongoza maandamano ya kupinga ushindi wake PoliCCM wakamkamata.Sasa Kwanini kama anaona ubunge sio issue eti ufutwe SI_ANAWEZA KUJIUZURU YEYE PEKE YAKE?Kwa nini alimsumbua Lowassa na Rostam Watumie pesa nyingi ili ashinde? I hope He is Hopeless now!!!!!
 
It is a nonsense idea ever i din't expect such a word to come from an MP, hivi wengine wanapataje ubunge?
 
Alipata ubunge kwa kuchakachua na kuiba kura akifiri atarudisha fedha za aliowalipa kuchakachua na kuiba kura atazirudisha ya posho za sitting
 
Huyu KOMATA kwanza Kura zenyewe alishinda kwa wizi wa Magamba.Zitto Kabwe alipoongoza maandamano ya kupinga ushindi wake PoliCCM wakamkamata.Sasa Kwanini kama anaona ubunge sio issue eti ufutwe SI_ANAWEZA KUJIUZURU YEYE PEKE YAKE?Kwa nini alimsumbua Lowassa na Rostam Watumie pesa nyingi ili ashinde? I hope He is Hopeless now!!!!!

He is very hopeless indeed. Ningependa hizi habari ziwafikie watu wa Kigoma mjini ili hata wale wachache waliomchagua wasirudie kosa.
 
Kati ya 'WABUNGE WA POSHO' nchini tunaokusudia kuwaondoa kabisa bungeni wakati wowote ule, huyu ni mmojawapo. Serukamba hii kauli yako tayari wapigakuri tumelihifadhi kwa uchungu moyoni.
 
Among MP's sijawahi kufahamu wanasimamia wapi kwenye mambo ya Taifa this is the one....!yani mara njano mara nyekundu! eti 'Bunge lifutwe'....ana-argue akijua hilo haliwezi kutokea kwa sasa..si aanze yeye kujifuta ubunge kama kweli anamaanisha?dawa yake Mdee tu.
 
Mwanza hatuna wabunge posho MUNGU mkubwa,chadema hatuna mbunge posho,shibuda sio mbunge wetu ni mapito tu alikosea njia tukampa hifadhi kumbe tumemsitiri adui,poa tu alakini tutayashinda
 
Ile nyumba yake ya Mjimwema aliyoweka poni wakati anagombea ubunge tayari alishaikomboa? na zile hela za mafuta alizokopa kwa Bella hapa kgm wakati wa kampeni ashamlipa?
 
mbona ni simple sana kama anaona wananchi tunawanyanyasa na kuwaoneo donge na kweli wanastahili nyongeza hiyo basi Rais amegoma kuipitsha tunaomba ajiuzuru ubunge kwa kuwa hakuna maslahi. Huwezi kufanya kazi kwa kinyogo wakati anataaluma yake ana anaweza kuishi bila ubunge kama alivyosema kwenye twitter msg zake. Mh.Serukamba JIUZURU BASI TUONE KAMA KWELI UNAMAANISHA.
 
Mh. Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba kwa kupitia account yake ya twitter (let's hope it is not hacked)anaendelea kutetea wabunge kuongezewa posho.

Amediriki kwenda mbali kidogo kwa kusema kama mnaona tatizo la wafanyakazi wa umma kulipwa kidogo basi ubunge ufutwe kabisa ili wafanyakazi wa umma wapate mishahara minono.

Nanukuu 'tweets' zake kama ifuatavyo ( @serukamba ) kupitia twitter.com :


serukamba
@ RT DM FAV TR
Msiwe na monopoly ya akili
jamani na kudhani wengine
hawafikili you are wrong dam
wrong!
12:02 via Twitter for
BlackBerry® retweeted once
serukamba
@ RT DM FAV TR
Mshahara wangu ni 2560000
kabla ya kodi! Upotoshaji
tuache!
11:51 via Twitter for
BlackBerry®
serukamba
@ RT DM FAV TR
Tujifunze na tuvumilie
wanaofikilia tofauti tujadili
hoja matusi sio uungwana!
11:48 via Twitter for
BlackBerry®
serukamba
@ RT DM FAV TR
Anayesema alipoteza kura
yake ! Kwanza naamini
hakunichagua ! Na hatuwezi
watu wote kuna msimamo
sawa!
11:47 via Twitter for
BlackBerry®
serukamba
@ RT DM FAV TR
Let us think msikwepe hoja
yangu! Mnaonaje tukifuta
bunge! Ili tupate pesa nyingi
tulipe watumishi vizuri
11:45 via Twitter for
BlackBerry®
serukamba
@ RT DM FAV TR
This is the radica thinking
tujadili ! Tufute bunge ili
watumishi walipwe vizuri !
11:34 via Twitter for
BlackBerry® retweeted once
serukamba
@ RT DM FAV TR
Hakuna kuzira ! Kama nyie
mnaishi bila kuwa wabunge na
sisi tunaweza kuishi bila
ubunge! Tufute bunge kuondoa
maneno!
11:04 via Twitter for
BlackBerry® retweeted twice
serukamba
@ RT DM FAV TR
Hakuna panic we can live
without ubunge! Tufute tu!
Tumesoma tutafuta kazi
kwingine!
11:00 via Twitter for
BlackBerry® retweeted once
Lugha ya taifa mgogoro.
 
Bunge halina faida yeyote so is vyama vya siasa ( na wanasiasa, obviously). Sielewi kwanini a modern mind has to embrace these 2 nonsense.
 
Update: Mh. Serukamba anaendelea kutweet

serukamba
@ RT DM FAV TR
Nataka tufikilie jambo hili kwa
mapana yake! Serikalini na
mashirika yake kuna watu
wanalipwa 20 mil kwa mwezi!
Tujadili mfumo wote
12:20 via Twitter for
BlackBerry® retweeted once
 
At the same time huyu Seru is another looser anayesema haya out of anger. Hata aibu hana, anakula basic salary ya 2.5 m for nothing na bado analalama. Huo ni mshahara wa kuanzia wa wataalamu 4-5 wenye degree who contribute something to the society, the mbungez kwa ujumla wao wanacontribute nini?
 
Back
Top Bottom