Bora nirudi JELA...............!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,395


Kilichonifurahisha katika hii video ya Husein Machozi, ni kwamba, jamaa baada ya kutoka jela kwa msamaha wa Rais akiwa kitaa mwenyewe kavaa suspender zake suruwale kifuani, kamuona mshkaji kavaa kata K, sasa yeye wakati anafungwa hayo mambo hayakuwepo, si akaona ni vyema amsitiri kwa kuipandisha hiyo suruwale, akageuziwa kibao........

Sehemu nyingine kamuona mdada kavaa kimini, akaomba mtandio mahali ili amsitiri mdada kumbe ndio fasion yenyewe kachenchiwa live........

Enjoy......................... ..........!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom