Bora nife

pole, RIP.
pole...... wataka kujiua coz anafahamika na familia yako..............amedhihirisha wewe hukuwa chaguo lake........inauma lakini yatapita unatakiwa kusonga mbele...............ukijiua ndio utakuwa umempata achan na mawazo machafu
 
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.
Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.

Ndoa za mikeka nini? Mademu wengi sana tafuta mwingine haraka. Kila moja kwa aina yake. Amekupeleka shule ya mapenzi na sasa umehitimu. You are on your own find another lady. Kila kitu poa.
 
Pole sana,usijiue-maana ushaambiwa "usiue" na mandiko matakatifu
haya mambo yapo,na wewe si wa kwanza kukupata,ngoja akae kwa muda huko alikoolewa then atachuja yeye mwenyewe na kujua wapi alitakiwa akae,kama kapangiwa kuwa wako-usishangae kuona anakutafuta na kuanza kuomba msamaha
 
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.
Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.

Ukijiua ndo inakusaidia nini sasa? Life goes on!
 
huna haja ya kujiua,hapo ndio umekomaa kimapenzi!!piga moyo konde na pambana na ukweli huo,hiko ndicho kilichotokea!mungu amekuonyesha mapema!utapata mwingine na naamini malipo ni hapahapa duniani,ipo siku atakuomba msamaha
 
jamani vijana mapenzi ya kisasa ni mguu ndani mguu nje.. mtakufa na mi "frastresheni''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom