Bora nife

Kinachokuliza nini?pete ya garama au kumkosa?ucjiue mwaya wanawake shaaz wanasaka midume kama wewe unaetaka kujiua,hebu isake
 
Afu hujawah kuckia tu,huyo mwanamke alikuwa kiwembe kchz her hilo balaa limeenda kumwangukia mtu mwngn..mshukuru mungu kwa kukuepusha
 
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.
Unataka kujiua kwa sababu ya pete yako ya gharama ? si umwambie akurudishie ? hutaki kujiua kwakuwa ulimpenda na huwezi ishi bila yeye ? nilielekeze hapo mtaani kwenu nikuletee madawa ya shamba yaliyo-expire baada ya nusu saa tu marehemu.
Hivi hujawahi kwenda hospitali ukaona mtu anahangaika ili aendelee kuishi ? au mtu anayetapatapa kwenye maji asizame ? we kufa tu kwa akili hizi sidhani kama una faida yoyote kwa taifa hili.
 
Kisa cha Kujiua nini Emma kwani nyumbani na majirani hawajui kwenye mapenzi kuna kuacha na kuachwa ..
Jipe moyo mkuu yupo aliyeandaliwa kwa ajili yako..
 
yani amepata wa kumuweka ndani akatae kisa lipete lako?
kuna mtoto wa mjomba alijaribu kujiua kwa sababu za kipuuzi mara 3,mara mbili kwa kumeza dawa nyingi na mara ya mwisho akafunga kamba kwenye feni ikakatika, sasa baada ya kusikia puuu! kitu kizito kimedondoka wazazi kukimbilia kwa mwanao wakakuta kaanguka chini nusu kamba shingoni na nusu imebaki kwenye feni.
Mjomba akafukuza kila mtu chumbani,akamletea kamba imara na kufunga mlango,yule bwana mdogo kuona hamna aliyestuka ndio ukawa mwisho wa ujinga wake,sasa hivi ni fundi mzuri wa magari.
 
Kabla hujajiua, napenda kufahamu, unajiua kwa sababu pete uliyomvalisha ilikuwa ya gharama sana na hajakurudishia? au sababu ulimfumania? au sababu kaolewa na lijamaa lingine?
 
bebii kama halikuwa hampendi emma kwa nini alikubali pete yake ya uchuma?Huo ni wizi mtupuuuuuuuuu
Kwani pete ya uchumba kitu gani yale si madini tu, pete ya uchumba halisi ni roho ya mtu na kama hakuwepo rohoni mwake basi hakuna pete ya uchumba wala asiende kuidai hiyo ni zawadi kampa, kujiua si suluhu na ni mambo ya kizamani afu pia jamaa anaonekana yeye ndo aliingilia uchumba wa watu mana mpaka mtu kaolewa wewe hujui...
 
Jikaze kisabuni uendelee na maisha. Mi nahisi una mambo mengi muhimu sana ya kufanya tena yenye kukuletea manufaa na faraja zaidi ktk maisha yako kuliko kuendelea kuwaza vitu vya ajabu ajabu kiasi hicho! Nakuonea huruma kwa umasikini wa fikra!
 
Pole kaka mshukuru sana Mungu umemgundua mapema kuwa hakuwa muaminifu kwako fikiria ndio ungekuwa umeshafunga nae ndoa yakakukuta yaliokukuta.....

Shukuru Mungu kwa kila jambo..... Jipange umpya na maisha, kesha ukiomba Mungu akufungulie na akupe chaguo la moyo wako, kumbuka Mke mwema hutoka kwa Bwana

Huu ushauri wa busara sana pamoja jamma wengine hapo juu ambao si kuwanukuu hapa. Songa mbele na maisha na umshukuru Mwenyezi Mungu kwa kukuepushia hilo janga ambalo ulikua umefika ukingoni. Huyu sio mwanamke mwaminifu ambae unaweza kufikira kufunga nae ndoa. Si muda mrefu atamsaliti huyo jamaa aliemuoa pia .
 
Kweli mkubwa ila kwa hali nilokuwa nayo mi Nadhani bora Nife.
Kwani jana kapita nae mtaani kwetu wakati watu wote wanajua kilichotokea. Inauma sana.
 
Kwa kweli kinachoniuma zaidi ni binti tupo wote miaka 4 iliyopita marafiki,ndugu,majirani na jamaa wanamjua.
Hana niko Aga khan naumwa na sihic hamu ya kula.
Nimempigia cm aje kuniona anadai bado ananipenda ila hawez toka bila Idhini ya mumewe.
Du inauma bora nife.
 
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.
Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.

Stori za kutunga utaziona tu, hata ''flow'' hakuna.
 
Hivi mtu anaweza kuomba ushauri kuhusiana na kujiua??? !!!!!! Kwa hiyo asilimia kubwa hapa wakisema ujiue utajiua?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom