Bora mke akuone taahira kuliko akuone mwerevu, utaangamia wewe na kizazii chako

Kwani wao biblia huwa hawaielewi wakiisoma ama ndo hvyo wao wanasoma agano jipya tu make la kale wanaona linawayeyusha eti kisa mwanaume kaambiwa kutawala...teh teh teh!
 
nashindilia zaidi.hapo mwanzo baada ya mungu kumuumba adam, akampatia taratibu za kuishi katika bustani ya edeni. Lakini akaona ni vema ampatie msaidizi. Akampatia hawa. Kitambo tu, hawa akamdanganya mumewe adam ili wale tunda la mti wa katikati, ambalo mungu aliwakataza. Mungu akawalaani kama ifuatavyoadam: Ardhi imelaaniwa, utakula kwa jasho na miiba itakuchomahawa: Utazaa kwa uchungu, tamaa yako itakuwa juu ya mme wako naye atakutawala. hapo kwenye nyekundu, wataalamu wa biblia wanasema, mwenyezi mungu aliamuru mwanamke atawaliwe na mwanaume baada ya kuona kuwa hawezi kujitawala kwa ufanisi kwa sababu ameharibu kwenye tunda la mti wa katikatikwangu mimi mfumo dume mwanzo mwisho, ila simdharau wala kumwonea mwanamke.
safi sana, unakunywa kinywaji gani kijana?
 
Hapo mnadanganyana... akili za kushikiwa/kuambiwa lazima uchanganye na za kwako ndio uamue ufanyeje. Mke akiwa binadamu lazima from time to time anakosea lakini kusema &quot;Jamani tusiwasikilize na kutii amri za wanawake tutaangamia&quot; naona ni kukosa ufahamu. Msikilize mkeo na kama ukiona sio point base mwambie au achana na hiyo amri/ushauri. Kama ukiopna ni point, songa mbele kwa manufaa ya familia.<br />
<br />
Binafsi naamini niliwekwa duniani kwa malengo maalum, none of which ni kutawaliwa na anyone!
<br />
<br />
na ndo maana ukampata mume anayetawaliwa,i wish ningekuoa mimi,ungekuwa kwenu kijijini unalima mihogo sasa hv
 
Nashindilia zaidi.
Hapo mwanzo baada ya Mungu kumuumba adam, akampatia taratibu za kuishi katika bustani ya Edeni. Lakini akaona ni vema ampatie msaidizi. Akampatia HAWA. Kitambo tu, hawa akamdanganya mumewe Adam ili wale tunda la mti wa katikati, ambalo Mungu aliwakataza. Mungu akawalaani kama ifuatavyo
ADAM: Ardhi imelaaniwa, utakula kwa jasho na miiba itakuchoma
HAWA: Utazaa kwa uchungu, tamaa yako itakuwa juu ya mme wako naye ATAKUTAWALA.

Hapo kwenye nyekundu, wataalamu wa biblia wanasema, mwenyezi Mungu aliamuru mwanamke atawaliwe na mwanaume baada ya kuona kuwa HAWEZI kujitawala kwa ufanisi kwa sababu ameharibu kwenye tunda la mti wa katikati

Kwangu mimi mfumo dume mwanzo mwisho, ila simdharau wala kumwonea mwanamke.
Ngoja nitie UZITO zaidi:
GENESIS 3
12 And the man said, The woman whom thou gavest to be with me, she gave me of the tree, and I did eat.
13 And the LORD God said unto the woman, What is this that thou hast done? And the woman said, The serpent beguiled me, and I did eat.
14 And the LORD God said unto the serpent, Because thou hast done this, thou art cursed above all cattle, and above every beast of the field; upon thy belly shalt thou go, and dust shalt thou eat all the days of thy life:
15 And I will put enmity between thee and the woman, and between thy seed and her seed; it shall bruise thy head, and thou shalt bruise his heel.
16 Unto the woman he said, I will greatly multiply thy sorrow and thy conception; in sorrow thou shalt bring forth children; and thy desire shall be to thy husband, and he shall rule over thee.
 
Biblia inajua udhaifu wao ndo maana inasema muishi na wake zenu kwa akili. hivyo hiii iwe siri yetu tusiwadharau mpaka wajue
 
Na mkae mkijua these women have been smart over us all the times. Hivyo bado watatudanganya tu unless tunatulia mno na akili zetu
 
ukila na kipofu usimguse mkono.wanajifanya wajanja lakini kwa uwezo wa Mungu tunawazalisha tu.mia
 
Pamoja na mistari hiyo..sisi ni lazima tuwatawale na wao watutii..pia ni busara kuwasikiliza kwa kupima.. maandiko yanawataja kama walinzi,waombolezaji ,wafariji nk..na hata Baba yetu Ibrahimu aliamrishwa kumsikiliza Mama yetu Sara kwa habari ya Ishmael..hivi mke akikushauri/kazania kuacha pombe kupita walau muwe na kibanda chenu inakuwaje?buji unajiandaa kuoa..85% ya nyumba zilizojengwa na wanaume walevi/wakware nyuma kuna shinikizo/kujibana/mapambano ya wake zao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom