Bora Maximo kuliko Paulsen

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
Bora huyu mara mia, alitutoa mbali sana.........
Maximo.jpg

kuliko huyu aliyeonesha kubahatisha 'challenge'
danish-tactician.jpg
 
Hapa hata ingeletwa ManU ifanywe team ya taifa uozo utakuwa uleule!!kocha hata akiletwa fcapello ujinga utakuwa uleule!Tff ndiyo tatizo.
 
hapa hata ingeletwa manu ifanywe team ya taifa uozo utakuwa uleule!!kocha hata akiletwa fcapello ujinga utakuwa uleule!tff ndiyo tatizo.

sasa nn kifanyike kakakiiza ili tuondokane na tatizo hilo?
 
kuwekeza kwa timu za watoto,lakini pia najiuliza hv vile vipaji vya copa coca cola waliochukua ubingwa kule braazil wako wapi...tff ttz hakuna mtu wa ufundi Kayuni yuko but hajui lolote la kuendeleza soka..nawasilisha..yangu mawazo
 
Back
Top Bottom