Bora kufa kuliko hivi!

pole sana. Pamoja na kuwa ni maumivu makali piga moyo konde usonge mbele. Hayo c mwisho wa maisha.
 
dah pole sn kaka,,,pili mskuru sn mungu wako kwani amekujulisha mapema yota hayo b4 hujafunga ndoa,,kaa tulia kwanza ucfanye uamuzi wowote ule kwa sasa muombe sn mungu huku ukijitahidi kusahau hayo angalau ni ngum kwa mara moja,,,acha kabisaa kwa sasa maswala ya DNA
mrudie mungu wako hoply atakusaidia na utapata uliyepangiwa huyo hakuwa riziki yako,,,
 
pole sana ndugu una bahati sana kujua mambo ya mwenzio, cha muhimu angalia maisha yako yanaendaje, usihangaike kumpima mtoto DNA since umemlea tangu alipozaliwa wewe ni baba hata kama sio damu yako,NANI KATI YETU BABAKE ALIMPIMA DNA? hata Yoseph alimlea yesu ingawa hakuwa babae wa kumzaa. lingine hakuna mtu mkamilifu hasa kwa sisi wanaume kama na ww huko ulipokuwapo hujawahi kufanya ngono na binti yoyote jiangalie na jihukumu nafsi yako kama ndio mtafute binti huyo ni mama wa mwanao akiomba msamaha mwoe najua hatarudia tena ameshajua kajulikana tena atakuwa mke mwema sana.lau kama ww hujawahi kumsaliti basi omba mungu akuonyesha mke mwema sisemi ulale akuonyeshe bali utafute atakupa ishara.
 
pole sana.... good thing mlikuwa hamjaoana yet so try to accept the fact that you accidentaly trusted the wrong person ( it happens to many people) raise your kid and it wont be long before the nightmare ends and you open a new page with someone better! huyo dada sijui atakuja kumwambia nini mwanae baadae....???
 
Shukuru kwanza umejua hayo na kushuhudia kabla ya harusi yenu,,, la sivyo ungekufa kabisa brother
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom