Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
tumuwekee bembea kabisa ikulu na tv screen kubwa
TFF wampe mkwere PhD na wao!
Phd za kumegewa tu siku hizi...ushindwe wewe tu mchungaji!TFF wampe mkwere PhD na wao!
Tuombe tena michuano inayofuata Kikwete asiende uwanjani au apate safari ya ghafla kwenda kutalii nje ya nchi, akiendelea kutohudhulia atakuwa analinusuru taifa na aibu ya mwenda wazimu.
The Kilimanjaro stars 1 Ivory Coast 0 hongera nafikiri hii ni baada ya miaka 16 bila kuwa na kombe la Challenge.
Tuombe tena michuano inayofuata Kikwete asiende uwanjani au apate safari ya ghafla kwenda kutalii nje ya nchi, akiendelea kutohudhulia atakuwa analinusuru taifa na aibu ya mwenda wazimu.