boot menu in packard bell laptop

Adolph

JF-Expert Member
Sep 26, 2010
895
346
wakuu nina mashine yangu aina ya packard bell..virus wamezingua nataka niipige window chini niweke window nyingine..tatizo linakuja inakataa kuboot from cd..nimejaribu kwa kutumia F8, F9, F10,F11,F12ILA BADO HAIKUBALI KUBOOT FROM CD..Daaah nifanye maujanja gani hapa wakuu..any help??
 
F2 ndio imebaki hapo, jaribu hiyo au kuna special key kwenye keyboard
 
wakuu asanteni..nimefanikiwa..imenibidi nibofye F2 na kubadili jinsi ya kuboot..nimeweka boot from cd iwe no.1 kitu kikakubali..thanx
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom