BOOM LA LOAN BOARD St AUGUSTINE CHEQUE IMEWEKWA FIXED ACCOUNT.

Acha uoga wa kufukuzwa wewe, uoga wenu ndio matatizo yenu, haki hupiaganiwa, right never come from the sky, huvyo vitisho vya kufukuzwa individually ni mbinu tu ya kuwatisha waoga kama wewe kwa kutumia divide and rule policy kama wakoloni. Mzee acha uoga
 
Vyuo karibia vyote vinafanya huo mchezo.

Watakuwa waliiga kwa wale wa vyama vya ushirika waliokuwa wanawakopa wakulima (sio wewe Husninyo maana wewe si mkulima na enzi hizo vazi lako kuu lilikuwa ni nepi) halafu wanaweka fixed account baada ya muda ndio wanakwenda kuwalipa wakulima.
 
aisee! habari njema hii, ngoja nizungukie huko kabla hivyo vibinti havijapata hilo boom, nije kupiga mbunye za bei chee
 
Poleni ndugu zangu... Mbona mpo karib na RFA.. Kaelezeni matatizo huko.. Ni hatari kama chuo chaendeshwa kama SEMINARY
 
don oba, nimefurahi kuisoma post yako mkuu kumbe wanafunzi wa saut bado hawajapata boom! Aisee vile vibinti kipindi kama hiki tulikuwa tunavila vibaya sana.. Ukivipa buku 5 tu unajibebea hehehe cha muhimu ni kwa binti nikupeleka mkono kinywani tu. Safari hii imenipita bwana kutokana na majukumu kuwa mengi, mwakani nitatafuta nafasi by december/january/feb nije mwanza.
Watoto huwa wananyodo sana boom likiingia, wakiishiwa madereva wa tax/daladala wauza maduka, wazee wote huwa wanaponea saut

inaniuma sana kuona watanzania wanafurahia wadogo zetu,dada zetu wakiwa katika hali ngumu ya maisha vyuoni ili tu wao na uro wao wa ngono wawarubuni na kuwaambukiza hata magonjwa ya zinaaa
sijui hiki kizazi kinaelekea wapi?
Ee mungu uwalinda ndugu zetu huko vyuOni dhidi ya hawa mafisadi wa ngono..
Wewe narubongo assume ni mwanao anafanyiwa hivyo.

SAUT campus ya Ifakara ndo hawajapewa hata senti tano kwa MD1 zaidi ya wanafunzi sitini(60) kwa semi ya kwanza yaani utawahurumia wale watoto.Wakula maembe usiku na mchana.Wabinti ni buku 2 naona vijana wa IHI Ifakara wavichezea kama mpira wa chandimu.BODI YA MIKOPO JAMANI WAHURUMIE HAO VIJANA WA WAKULIMA
 
Acha uoga wa kufukuzwa wewe, uoga wenu ndio matatizo yenu, haki hupiaganiwa, right never come from the sky, huvyo vitisho vya kufukuzwa individually ni mbinu tu ya kuwatisha waoga kama wewe kwa kutumia divide and rule policy kama wakoloni. Mzee acha uoga
wee usitufanye c wajinga hapa, marafiki zetu wengi sana washafukuzwa kimya kimya afu unataka kugoma, acha watunyonye, wakijickia watatupa ela zetu
 
Kwa wale wanafunzi wa St Augustine walioanza 2nd sem tangu tar 13 february msitegemee kupata boom hivi punde. Kuna tetesi ya kwamba yule jamaa Alex akishirikiana na baadhi ya viongozi wamedeposit cheque ya loan board tangu tar 22 january. Wanasubiri mwezi utimie tar 22 feb ndo tutaanza kusaini.
na leo ndio 22nd february na hatujasign wala dalili hatuzioni
 
kwa hyo unafurahia eeeeeeh............? watoto wa wenzako wakiharibiwa unafurahia eeeeeeeh....? subiri mwanao upate mtoto halafu uone uchungu wa mwana............?
 
sishangai sana haya yanayosemwa na kujadiliwa humu kuhusu kukawia kwa meals na accommodation ya wanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT, sishangai sababu sisi vijana wa leo hatusumbui vichwa vyetu kufanya tafiti, sishangai sababu tumekuwa kikazi cha kukopy na kupest,sishangai sababu tu kizazi dhaifu na duni kufikiri, sishangai sababu tunataka maisha short cuts, sishangai sababu tumejaa ubinafsi na unafiki, sishangai sababu hatuna uwezo wa kujenga hoja bali kupayuka,kupiga kelele tu.......nani ana ushahidi kuwa cheque imewekwa fixed account?, nani an ushahidi kuwa jambo hili nirahisi kama fikra zake zilivyo lahisi, nani anadhani kukawia pesa hii tatizo ni chuo ama utawala wa chuo, au rais mataba?? ushirikiano gani saut na sautso hawana...? nani anaweza kusema hapa mataba anahudhulia vipindi vingapi kwa semiste? nani yuko tayari kumwongezea marks ikiwa hakuna utaratibu huo kichuo lakini bado anasafiri kushughulikia matatizo ya wanafunzi?? nanai kafanya utafiti na kubaini solution ya matatizo ni kugoma na si majadiliano? nani kapeleka hoja nono na ya kitafiti kuhusu jambo lolote kwa utawala akafukuzwa ama kukataliwa kibabe?

tutafakari kisomi tuache utamaduni wa kulalamika, tuwe na nidhau ya pesa pia, tuache taasisi ijiendeshe kitaasisi kwa kuweka taratibu kanuni na sheri zinazojenga nidhamu ya kitaasisi iliyo na vission na mission si ilimladi ni taasisi, fine ya laki is so reasonable and it ust be paid if one does not adhere to the rules....

tumshukuru kitima kwa jitihada zake za kuwatetea wanjonge wenye shida na ninyi msio na shida acheni kuchochea mitafaruku, hii si saut na kama mmetumwa kuivuruga basi count early failure, muungeni mataba kama rais wenu sababu naamini pengine msibaini sasa but kwa uzoefu wangu itawagharimu kupata kiongozi mwingine kariba ya mataba, he is good, frank, polite,straight,objective,understanding na strong
 
mijitu mingine sijui imelaaniwa, umekurupuka kujitetea hapa na hoja nyepesinyepesi! Akili yako inabebeka mkuu, eti fine ya laki ni reasonable...ebo?.,huna hata chembe ya huruma. Umetumwa nn?. Namheshimu Rev Dr Charles Kitima sana ila pale anapokosea lazima tuseme. Hupenda kuishambulia serikali mpaka povo linamtoka kinywani ila ya nyumbani kwake yamemshinda! Hiyo social contract anayoizungumzia ni ipi? Ndio yawezekana mwanzoni nilikua wrong nilipo post hii thread ila uongozi wa chuo hauwezi kukwepa hizi lawama. Mosi, kwa kushindwa kulishughulikia hili suala mapema na pili kutoruhusu hata likizo ya wiki mbili. Wanafunzi wanapiga miayo tu darasani hawaelewi. Halafu Mataba nikiongozi bomu, legelege asiyekuwa na tija wala bashasha ya uongozi, ni dhariri kupindukia. Nitaleta ufisadi wake hapa jamvini soon.
 
Dah mkuu nakuunga mkono mia kwa mia..nina washkaji na ndugu wanasoma hapo.Na nimekuwa mwanza kwa kipindi fulani.Wakatoliki kwenye huduma ni watu wa ajabu sana.

Kitima preaches water when he himself drinks wine..kwa mfano yeye anahojiwaga star tv na kusema the church is committed to giving the most affordable yet quality education, hasa ukizingatia umaskini na akawa anajivunia ada ya saut ni ndogo yani laki tisa na nusu! Sasa hiyo fine ya laki moja for late registration,yanini wakati anatambua watoto ni maskini?yani nyie mna haki ya kugoma kuliko hata udsm,there‘s lots of injustices which go unchecked in the name of ‘the church never strikes‘.

Kuhusu huyo mataba rais wenu sijui..ila mnaweza kuta mnamtwisha mzigo wa lawama bure wakati ni victim of circumstances!
 
sishangai sana haya yanayosemwa na kujadiliwa humu kuhusu kukawia kwa meals na accommodation ya wanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT, sishangai sababu sisi vijana wa leo hatusumbui vichwa vyetu kufanya tafiti, sishangai sababu tumekuwa kikazi cha kukopy na kupest,sishangai sababu tu kizazi dhaifu na duni kufikiri, sishangai sababu tunataka maisha short cuts, sishangai sababu tumejaa ubinafsi na unafiki, sishangai sababu hatuna uwezo wa kujenga hoja bali kupayuka,kupiga kelele tu.......nani ana ushahidi kuwa cheque imewekwa fixed account?, nani an ushahidi kuwa jambo hili nirahisi kama fikra zake zilivyo lahisi, nani anadhani kukawia pesa hii tatizo ni chuo ama utawala wa chuo, au rais mataba?? ushirikiano gani saut na sautso hawana...? nani anaweza kusema hapa mataba anahudhulia vipindi vingapi kwa semiste? nani yuko tayari kumwongezea marks ikiwa hakuna utaratibu huo kichuo lakini bado anasafiri kushughulikia matatizo ya wanafunzi?? nanai kafanya utafiti na kubaini solution ya matatizo ni kugoma na si majadiliano? nani kapeleka hoja nono na ya kitafiti kuhusu jambo lolote kwa utawala akafukuzwa ama kukataliwa kibabe?

tutafakari kisomi tuache utamaduni wa kulalamika, tuwe na nidhau ya pesa pia, tuache taasisi ijiendeshe kitaasisi kwa kuweka taratibu kanuni na sheri zinazojenga nidhamu ya kitaasisi iliyo na vission na mission si ilimladi ni taasisi, fine ya laki is so reasonable and it ust be paid if one does not adhere to the rules....

tumshukuru kitima kwa jitihada zake za kuwatetea wanjonge wenye shida na ninyi msio na shida acheni kuchochea mitafaruku, hii si saut na kama mmetumwa kuivuruga basi count early failure, muungeni mataba kama rais wenu sababu naamini pengine msibaini sasa but kwa uzoefu wangu itawagharimu kupata kiongozi mwingine kariba ya mataba, he is good, frank, polite,straight,objective,understanding na strong
Ni kweli na hakika ya kuwa wewe (KULUNALILA) ndiye MATABA mwenyewe, ni kweli na hakika kuwa hoja za wadau zimekugusa, ni kweli na hakika umejitaidi kujitetea japo kwa kujibu MASWALI MAZITO kwa HOJA NYEPESI, ni kweli na hakika aliyeshiba hamjui mwenye njaa ndio maana wewe kwa kuwa umeshashiba change za nauli za safari anazokupa Dr kitima huwajali tena wanaSAUT waliyokuchagua, ni kweli na hakina ndiyo maana ulilia infact uliulilia URAIS WA SAUTSO ulipoukosa kwa mara ya kwanza, ni kweli na hakika tulikupigia kura ulipogombea mara ya pili ili kukufariji usije ukadondoka kwa presha kama ungeukosa tena urais uliyokuwa unaulilia, ni kweli na hakika tulifanya kosa kubwa kwa kupiga kura kwa misingi ya huruma, ni kweli na hakika umesahau kuwa SAUT ilishakuwa marais ambao ni mahiri sana zaidi yako, ni kweli na hakika unajidanganya kuwa SAUT haiwezi kupata kiongozi mwingine wa kariba kama yako. Ni kweli na hakika ukirudi tena kwa kujifanya sio wewe na kisha ukaanza kujisafisha hapa janvini, muda si mrefu nitaweka hadharani ufisadi uliyoufanya na mipango yako michafu uliyonayo. Hongera Kulunalila(mataba) kwa kujitokeza na kutoa kejeli kwa waliyokuchagua.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom