Boom, boom, boom!

Napata wakati mgumu kufanya maamuzi ya kuja huko au kutokuja.
 
Dah, Mungu kasikia kilio changu kwa bumu kuingizwa leo! Asante Mungu sifa na utukufu ukufikie hukohuko uliko mbingun! Hela ya kulipa deni la nauli niliyokopa ishapatkana!
 
Ukamtolee Mungu sadaka sio salamu za maneno pekee haitoshi kuitwa Shukrani kwa Aliyekuneemesha! Mkumbuke Muumba wako siku za UJana wako na Kumtolea pia.

Dah, Mungu kasikia kilio changu kwa bumu kuingizwa leo! Asante Mungu sifa na utukufu ukufikie hukohuko uliko mbingun! Hela ya kulipa deni la nauli niliyokopa ishapatkana!
 
Back
Top Bottom