BONTA katoa MATUSI

Kama hiphop imekupta pemben ucjaribu kuandka upumbavu xaxa tusi liko wap? Maria Stopes unaijua ww ulza kwanza......big up Daktar 2pe radha hayo ndo maarifa
 
:nono: bikira maria na marie stopes ni wapi na wapi..halafu tunasema ni mkali hana mpinzani!!:high5:
Huyo dogo kapinda, nimesikia clouds wakimjadili asubuhi kwenye pb kuna utenzi Bonta kajisifu anasema " tungo zake zimebarikiwa na Allah ...zina hadhi zaidi ya bikira ya Maria" . Sasa Bonta akahojiwa kwa nini anawakashifu wakatoliki kwa kulitaja jina la Maria kwa namna ya upuuzi ..akatoa ufafanuzi eti alikuwa anamaanisha Maria Stopes ... Yaani ni mpuuzi aliyevuka kikomo. Mimi sijakubali utetezi wake.. He is just a STUPID IDIOT.
 
Dah jamani sasa uggreat thinker wenu upo wap BONTA ANASEMA TUNGO ZAKE ZINATHANI KULIKO BIKIRA YA MARIA- STOPERS WANATOA NA MABINT WANALIA (swari dogo tu mnaifahamu marie stopz) buruzeni vichwa vyenu chini huenda vitaumia na kufikiri achen uvivu nyambafu. nafungua vichwa vyenu kama droo za kabati la chimwaga................ ala.......:washing::kev::yell:
 
bonta concious
ni kama naongea matusi hawataki kuniskia, ni kama nafanya matusi hawataki kuniangalia...nabaniwa na nina enjoy coz heshima inaomgezeka na kitaani naeleweka, najua mengi kama lisu mi ni tundu la sindano, hamtapita nyie ngamia wa kijani na manjano, kwa mfano, hata manzi akivua nguo sisimami kama ufunguo, nitakaza mimi mjaluo, hisia zangu ziko mbali kama siasa za ulimwengu, generaly on... Monday, kinanu...ka mpaka sunday, manara juu nilipo kamuulize warawara, sichezwi sana presenter yupo mfukoni, mwa chief, kiumbe mimi siitaja shangwe kwenye show, nipo emotional ni soo, piga kimya na niskilize mimi bro, nafungua vichwa vyenu kama droo, za kabati la chimwaga, linasiri za kumwaga, nikifa nitaacha mengi ndugu zangu, siachi promo za redioni wala ubingwa wa mdomoni, sipotei kama kidato kimoja mtangoja, jah ndo anaebariki hizi tungo,zinathamani zaidi ya bikira, ya marie stopes wanatoa, na mabint wanalia kimbia, bora kuwa tajiri pesa ndogo hizi ni najisi, wananajisi, kasisi............"natumia sana metalfor[tashibiha], aina flani ya uandishi ambayo inaleta more than 1 meaning kwa msikilizaji husika, sehemu aliyopo au tradition yake...i aint mean to sound hush or to hurt any feeling....naamini sijatukana ila kama kuna m2 ame
athiriwa na iyo tashibiha....naomba nisamehewe
unatisha sana ninja vichwa vya kuku haviwezi beba hizi tungo.
:a s 576::a s 576:
 
Huyo dogo kapinda, nimesikia clouds wakimjadili asubuhi kwenye pb kuna utenzi Bonta kajisifu anasema " tungo zake zimebarikiwa na Allah ...zina hadhi zaidi ya bikira ya Maria" . Sasa Bonta akahojiwa kwa nini anawakashifu wakatoliki kwa kulitaja jina la Maria kwa namna ya upuuzi ..akatoa ufafanuzi eti alikuwa anamaanisha Maria Stopes ... Yaani ni mpuuzi aliyevuka kikomo. Mimi sijakubali utetezi wake.. He is just a STUPID IDIOT.
Mi nafikri kapitilizakwenye upuuzi,huyu ni mwanaharamu !sijawahi kusikiliza huo ujinga wake lakini ki lugha ukiangalia hiyo nukuu ya mashairi uliyoweka hapo juu ,huyu mwendawazimu hakumtaja bikra maria as a person-ametaja au kudhalilisha sehemu za fargha za mmojawpo wa wanawake watakatifu duniani .kwa kweli amenichafua roho kupita maelezo
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom