Bongomovies official website launch party...!!!!!

Bongomovies

Member
Oct 24, 2012
5
2
Yes...! Celebs biographies,personal lives, interviews, news, events and more...EXCLUSIVELY!!! .Coming Soon.!!
visit the website BongoMovies Official Website

Like our facebook page BongoMovies | Facebook for an invitation to the biggest bongomovies' launch party of the year...seats are so limited..!
follow us on twitter
banner ad.fw.png
 
Ok senku yuu ila kuweni makini na kina wema/ezekiel and the like wanaaibisha bongomovies wapigeni ban hata ya mwaka au mnawaogopa?
 
haina meno hii bongo movie yatakiwa iwe kali dhidi ya wababaishaji kina wema na antiiiiiiii nani cjui
 
kweli kabisa hii tasnia inaweza kutoa ajira kwa vijana wengi Tanzania

kama mkiwa serious, maana nyie mnataka jamii tuwasaport lakini at the same tym nyie mwatuangusha na mapicha pamoja na matendo yenu machafu ambayo yanaidhalilisha jamii yetu yote. ifike mahala tuone kwanza nyie mko serious then siye wadau ndo tuwape hiyo support mnayoitaka.
 
kweli mkuu maneno yako ni ya ukweli mtupu, na nakuhaidi tutajitahidi kuhakikisha manjiridhisha na umakini wetu kwenye hii tasnia
 
goood hapo mtarudisha heshima yenu kwenye jamii. na naamini nyie ni watu makini saana maana kama mnaweza kutuweka chini tukawaangalia t means mna convicing power ya uhakika
 
Kila la kheri BONGOMOVIES! Tunaomba mfikirie kutuandalie filamu zinazoongelea matukio halisi mbalimbali yanayoikumba nchi yetu!Tunaelekea kuchoshwa na filamu zenu za mapenzi tu kila kukicha!
 
Kila la kheri BONGOMOVIES! Tunaomba mfikirie kutuandalie filamu zinazoongelea matukio halisi mbalimbali yanayoikumba nchi yetu!Tunaelekea kuchoshwa na filamu zenu za mapenzi tu kila kukicha!
bila shaka mkuu, ni muda ata wa kuanza kufikiria kuziweka historia zetu kwenye movie kwa ajili ata ya uelewa mrahisi wa watoto wetu, asante mku
 
website mlitakiwa muwe mmeshanzisha tokea miaka ya 90 hata kakobe anawashinda ana blog sport
 
Back
Top Bottom