Bongofleva na Ushoga

swali langu ni je waliokuwa kwenye ukumbi waliitikiaje kitu hicho, kama kuna soko la hicho anachofanya na kinamlipa kwanini asifanye kama msanii? Tumeyaona ya Timberlake na Janet, ya Madonna na Britney.. kwanini tunashangazwa na haya?

may be it tells more about the people enjoying such entertainment (if you could call it that) than the artist himself..
 
Hii inatokana na kuiga mambo ya kigeni. Sisi waTanzania hatuna mambo kama haya. Tunajiheshimu pamoja na kuheshimiana sana..... kiutamaduni na pia katika dini. Huyu "Afande ...." amepulizia bangi hayo mambo aliyoyaiga....kwahiyo matokeo yake...ndio hayo....anachekesha na kusikitisha...!!!!
 
Solo Thang alishakwambia, kuna ma-repa na ma-rapper and then to top it off kuna malapa.

Now I know a range of srtists as diverse as Beenie Man, Jigga, Michael Jackson and Lil Wayne have engaged in some elaborate crotch grabbing.Apart from the unparalleled Fela Kuti, I do not recall an incident like this.

A few have done it, including Defao, Wyclef JEan (in GErman awards) and K-Ci (a member of JODECI & K-Ci n' Jojo)

R&B singer Cedric "K-Ci" Hailey has exposed himself to criminal prosecution after pleading no contest to indecent exposure.

MTV reports the singer had originally denied allegations that he had exposed his erect penis last December at a Los Angeles radio station's Christmas concert, before an audience of 4,000 -- including many young children. About 150 people reportedly walked out of the concert after the incident.
 
Huyu Baba Tunda sasa kapitiliza.Sijui Tunda akiwa mkubwa na kuja kuona hii picha ya babake atajisikiaje!
 
Kuvua nguo ndo ushoga? Labda anawadatisha mabinti hapo!!
 
Mh hapa is too much nyie mnaotuhabarisha habari za timberlarke sijui na kina madonna mnataka tukubaliana na haya katika jamii yetu simply because wazungu waliyafanya au nimemieleweni ndivyo sivyo?
 
Wabongo mkikomalia kitu, hata kama kidogo vipi mtakavyokielezea utadhani kuna siku itatokea watu watakuwa sawa! kama vipi si muipeleke katika mambo ya kikubwa, manake mtoa hoja tayari ameshaexaggerate kushusha jeans na mtu ana boxer ndani na ushoga wapi na wapi? Je wasanii wangapi wametoga masikio na mapua jamani.
 
Hivi jina lake kamili ni nani?

Yale yalee ya MASUDI KIPANYA kutangaza Pombe mwezi wa Ramadhani

nishai kweli
 
swali langu ni je waliokuwa kwenye ukumbi waliitikiaje kitu hicho, kama kuna soko la hicho anachofanya na kinamlipa kwanini asifanye kama msanii? Tumeyaona ya Timberlake na Janet, ya Madonna na Britney.. kwanini tunashangazwa na haya?

may be it tells more about the people enjoying such entertainment (if you could call it that) than the artist himself..

Ukiwa kipanya kwenye jamii ya vipanya hakuna atakayeshangaa. Lakini ukiwa mjusi kwenye jamii ya vipanya watu watakudefine kama mtu wa ajabu
 
eminem-moon.jpg
eminem_ass1-452x677.jpg


Hip Hop ni ushoga
 
Kwa ninayojua kuhusu aina hii ya muziki unaoitwa wa "kizazi kipya", mbona haya ya picha hii ni madogo! Hii ni bangi tu zinawaendesha. Tusishangae siku za karibuni kusikia tukitangaziwa ndoa za kishoga katika hao wanamuziki, maana hadi sasa wapo wengi tu wanaojua kuwa tayari zipo zimefunikwa zinasubiria "hali ya hewa ipendeze".
 
Alichofanya Afande Sele sio USHOGA hata kidogo. Afande ni miongoni mwa wasanii ambao hupendwa sana hata show zake huwa nzuri hii ni kutokana na mzuka anaokuwa nao.

Angefanya hivyo sehemu nyingine sawa lakini sehemu ile sawa tu ni kwa ajili ya kupagawisha mashabiki ndo maana hata hakuna aliyemkemea wakati ule anafanya vile.
 
Back
Top Bottom