Bongo5.com wanatumia Background Wallpaper ambayo ina Watermark na ni Copyrighted stock image

Nov 18, 2016
55
43
Kati ya biashara zinazoendeshwa kiujanja ujanja ni Mtandao wa Habari wa Bongo5.Com na kituko wanachofungia nacho mwaka ni kutumia copyrighted stock image kutoka Kampuni ya picha ya DreamStyme yenye makazi yake Illinois, Marekani.

Kama wana Graphic Designer na Web Developer walipaswa wawaachishe kazi mara moja kwasababu wanaweza kuingiizia hasara ya faini kubwa Kampuni ya Bongo5 na ni ukosefu wa creativity. Naona ndio maana hata Airtel wamewabwaga. Nipo kwenye mawasiliano na DreamStyme maana nimeona mwanya wa kupiga kahela hapa.
 
Fata mambo yako mzee..
 
simba akizidiwa anakula nyasi

Sasa kama unataka kupiga hela si unyamaze upige hela. Unaporopoka ndo utawaamsha waliolala
 
Back
Top Bottom