Sasa hii ni tetesi?na hiyo title na subject mbona haviendani?
Ugeni kazi!
Mi kuna siku nilibonyeza 'report post,' kimakosa kwenye uzi wa invisible. Likaja limeseji hilooo.
Hadi napaona pa kutokea viganja vyote vimeloa jasho.
hahahaha umenchekesha sana,poleh ndugu,invisible tena?