BONGO zAIDI YA UIJUVYo...

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Ni mji mpekee duniani ambao: Hakuna maji, hakuna ememe, hakuna mafuta, usafiri mgumu. Lakini takwimu za kiserikali zinaonesha kuwa mfumuko wa bei (inflation) unashuka.
 
tehe tehe tehe.....
Naona JINGA KUU ameshindwa na wafanyabiashara
 
...najaribu kufikiri baada ya hili sakata la wamiliki wa vituo vya mafuta kugoma ni nini kinafuata
 
Kitakacho fuata ni watu kutembea kwa miguu. Na wote tuseme CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
...najaribu kufikiri baada ya hili sakata la wamiliki wa vituo vya mafuta kugoma ni nini kinafuata
<br />
<br />
 
Back
Top Bottom