bongo ukiwa na hela kama new york

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
napenda nchi yangu tanzania ukiwa na hela kama new york Unaweza kulewa kustarehe kuchukua bwana kutembea kufanya chochote bila kuogopa kwenda beach kufanya mambo fulan kwenye garish
 
napenda nchi yangu tanzania ukiwa na hela kama new york Unaweza kulewa kustarehe kuchukua bwana kutembea kufanya chochote bila kuogopa kwenda beach kufanya mambo fulan kwenye garish
ushampata uyo bwana?kumbe na wewe unabuy?
 
Hawagawi tena magari MEKUNDU. Ila ukibahatisha, unaweza kumpata Buzi atakayekupa HELA YA SANDA.
 
Jamani, nini cha ajabu alichokisema Jane juu ya hili? Mbona huu ni ukweli mtupu, au kwa sababu kasema 'kuchukua bwana'? Basi ujue wengi wa wale waliochukizwa na hili aidha status zao nje ni za kuoza, hivyo hawawezi kurudi bongo kushuhudia hayo au hawana fedha za kujivinjari katika nchi yetu yenye kila starehe kijana anayoi hitaji, ili mradi una uwezo kifedha. Bongo kunaogopesha sana wanaume siku hizi kama hauna fweza.....; kazeni buti, yote yanawezekana.
 
Daresalama ya m.kwere will never be 'big apple', not in a zillion years. Dar watu wana ela zao na bado wanakosa huduma muhimu vilevile.
 
Back
Top Bottom