Bongo star search yamasaliti wapiga kura wake

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
663
99
wakati wanaanza mashindano walituomba tuwapigie kura washiriki kwa kutumia simu zetu na pesa zetu. tuliendelea kupiga kura kumchagua mshindi kwa zaidi ya mwezi mmoja. Ambacho tumerudishiwa sisi watazamaji na wapiga kura na huyu bibi anayejiita chief judge ni kutooneshwa fainali live, licha ya sie kupigia kura washindi. Je ni pesa ipi ambayo imemlipa zaidi kati ya kile kiingilio na ile ya ku vote kutumia simu kwa muda mrefu ule. huyu bibi anaendelea kuharibu programu yake hii ambayo aliba kwa dada kinyonga
 
Hivi hiyo Bongo star search ina tija gani kwetu? Unanufaika vp?
 
Kweli tulikaa kwenye tv mpaka saa 6 usiku,hivi walifanya makusudi kutoonyesha au ilikutana na siku ya Baba wa Taifa?
 
Kwakweli hata mimi safari hii sikuelewa kabisa nini kilitokea ila nilipojaribu kuuliza nikaambiwa Chief Judge kashatengeneza hela yake ya kutosha na hakuona umuhimu wa kurusha live......kaazi sana. Yote heri lakini tabia zao za kumtukana yule kijana Rodgers bila makosa yoyote ni chafu sanaaa hasa master J,mshamba wa mwisho.
 
Kwanza bongo star search yenyewe inapoteza mvuto kila kukicha 2.mshindi wa 1 anawachaguliwa na majaji kwa 60% ht km hajapigiwa kura na watz 3. Binafsi sioni manufaa ya hiki kipindi mambo yt TASKER PROJECT SHOW
 
Back
Top Bottom