Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bongo star search 2012

Discussion in 'Entertainment' started by The Dude, Aug 12, 2012.

 1. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Nani atazama hii kitu saivi?Leo wanaonesha auditions za Lindi na Arusha..it is so very much fun and funny too..
   
 2. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 7,922
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 48
  Yaani mkuu nacheka hadi natoa machozi.
   
 3. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Yani kuna watuhawajazaliwa ili wawe waimbaji kabisaaaa!!
   
 4. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Na hivi kwann salama ni mwepesi kunotice na kucomment kuhusu u cute wa mtu?
   
 5. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,377
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 48
  jamaa anasema salama hata hajatunga Single moja.
  Mm bado namsifu Salama kwani sio kila Jaji alishajaribu kuiba au kuua. Na ndio maana Mmasai kakolea
  bado kuna Rais kachagua Mawaziri wakati ni wezi na wamenitahiri wakati hawanipi Ngono
   
 6. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 7,922
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 48
  Labda ni experienced..................... Umeona swaga za mmasai na yule mwenye mjusi?

  Ila yule dada mwenye mtoto albino amenitachi kweli.
   
 7. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18

  KOKUTONA yule dada mwenye mtoto albino kaimba vizuri sana kiukweli..hata sijanotice mwishoni kama kasail through ama la..nijuze.

  Next week ni Mwanza na Mbeya,ngoja tuone itakuwaje.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 7,922
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 48
  Huwezi amini Mtundu Kisu yule dada wamemtosa. Amelia hadi kaniliza na mimi. Sijui kwa nn wamemwacha, labda sbbu ya mtoto. Sijui kwa nini kwa kweli.
   
 9. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  Kiukweli yule dada wamem'onea...anajua sana:alien:
   
 10. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 7,922
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 48
  Umeona ee IrDA, Kale kabinti kalikosema nimetokelezea b4 hajaingia kuimba hakuimba vizuri km yule dada lakini kapita.

  Sijui wanatumia vigezo gani.
   
 11. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,215
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Dah me yule dada nimeumia sana alivyoachwa nkavuta hisia wakati anaimba yule baby alivyokuwa anamuangalia mama yake usoni. Dah yani
   
 12. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 663
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  wakuu nipeni ratiba ya hiyo kitu...
   
 13. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salama bingwa wa kusaga. Akiamua kuwaponda vijana anaua kweli kweli. Lakini anachangamsha kipindi. Tatizo lake hataki kwenda shule tu.
   
 14. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,112
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 63
  weee nani kakwambia salama hataki kwenda shule???
   
 15. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio kila kitu uambiwe nawewe!
   
 16. t

  toto zuli JF-Expert Member

  #16
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu salama simpendi anajioona anajuaaaaaa
   
 17. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,539
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 48
  ....................umlimchukulia form ya shule gani, akakataa ?
   
Loading...
Similar Threads - Bongo star search Forum Date
Fainali za Bongo Star Search (Season 8, 2015) Entertainment Oct 9, 2015
Bongo star search 2015 Entertainment Aug 22, 2015
Bongo Star Search 2015 yazinduliwa Entertainment Jun 12, 2015
Fainali za Epic Bongo Star Search (EBSS) kupitia TBC: Mshindi ni Emmanuel Msuya Entertainment Nov 30, 2013
Tusker Project Fame Vs Epic Bongo Star Search Entertainment Nov 3, 2013

Share This Page