Bongo Star Seach Winners Where are they NOW?

BSS inatafuta wasanii wenye uwezo wa kukariri mistari ya wengine. hilo ni TATIZO.
 
kuna jamaa mmoja niliwahi kumsikia alikuwa anaimba sauti unique and he was creative kusema kweli, lakini judge mmoja (master j)alimpotezea akamwambia kwa saili ile asingeweza kuuza bongo, master j anashani wote tunapenda bongo fleva kama yeye, unategemea nini hapo.
 
kuna tofauti ya Winner na runners-up,wengi wanachangia runner-up!!

Navyojua mimi winners ni J4,Pascal wa magu aliyefulia.

Kuna yule kijana alikuwa wa pili baada kuchakachuliwa na J4 alikwenda wapi?alifanya kazi muda mrefu sana na yale mashindano alikuwa anaimba nyimbo zake kuanzia mwanzo mpaka mwisho lakini alichaguliwa J4 sijui kwa ajili ya ile sura yake ilivyokuwa inachekesha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom