Elections 2010 Bongo Radio yaendesha mjadala wa Uchaguzi Live

hureeeeee, mpiga simu tokea Temeke Tanzania

MUNGU akubariki mzee wetu, mtoeni Kikwete madarakani na ccm yake.
Nimetoka kuongea na baadhi ya watu walioko bongo wanadai ccm kweli iko taabani labda waibe kura ama walete umwagaji damu.
 
Ebwanaaee, mzee wa temeke anamuua kikwete hadi nimefurahi.

OMG OMG OMG OMG... hii story inabidi kesho iwe kwenye news.
Anasema kuwa KIkwete anataka kuleta usultani Tanzania.
Anasema kuwa Kikwete anaweza kubadilisha katiba ili aendelee kuwa madarakani

Asante sana mzee wa Temeke, MUNGU akubariki
 
leo nimesikia mjadala wa kusikitisha sana, watu wengi wanaogopa mabadiliko, wanaona ni heri waendelee kuwapigia kura viongozi wabovu ati wakiingia wengine watakuja na njaa zaidi, watanzania pleeeeeeeeeease tusiendelee kufanya makosa yale yale, kama kuna mtu anasita kufanya maamuzi sahihi afungue mawazo, wakati wa mabadiliko ni sasa.
 
wera weraaaaaa!!! thanks mzee GQ naona umenirusha inapendeza sana
naona kapiga simu jamaa kutika temeke NI MMOJA WA WALE WAZEE WA EAST AFRICA
ongea naye huyo jamaa akapige kura ,naona jamaa anastaka asipige kura.

Lakini hawa wazee wa Temeke ndio wale waliokuwa wanamwimbia Kikwete siku ile ya speech ya mbayu-wayu, walikuwa wamevaa jezi za kijani....., wanasema sema baba sema.....,
 
jamaa anasema wao sio kama Mengi manake Mengi anamiliki tv anaweza kujieleza sio kama wao ,wao hawana hata ubao wa kuandika
mzee anasema anaishanga familia baba anatokea huku mtoto anatokea huku mama naye anatokea huku na wote wanatumia gharama za serikali jamaa anaponda ila anaelezea vizuri sana big up mzee wetu
anadai tokea azaliwe hajaona uongozi kama huu anadai JK anafanya haya mambo ili aishi yeye na familia yake maisha kama ya peponi
 
Sio madini tu NYani, wanachukua hata Twiga wetu kule Loliondo wakiwa hai, badala ya kuwinda wanachukuwa wanyama hai kwenda kwenye zoo zao huko arabuni.. Tena Kinana anatumika saaana hapo Loliondo.
 
Mgombea wa ccm alimnunua mgombea wa Chadema musoma vijijini.

CHADEMA walimtoa wapi huyo mgombea? walikuwa wanamfahamu kabla au walimkokota tu mitaani? samahani lakini kama unafahamu utaratibu wa kuwapata wagombea wa ubunge CHADEMA naomba nijulishe.
 
Lakini hawa wazee wa Temeke ndio wale waliokuwa wanamwimbia Kikwete siku ile ya speech ya mbayu-wayu, walikuwa wamevaa jezi za kijani....., wanasema sema baba sema.....,

sio wote mkuu, dar ina wazee wengi sana, waliokwenda diamond ni sehemu tu ya wazee wa Dar
 
Sio madini tu NYani, wanachukua hata Twiga wetu kule Loliondo wakiwa hai, badala ya kuwinda wanachukuwa wanyama hai kwenda kwenye zoo zao huko arabuni.. Tena Kinana anatumika saaana hapo Loliondo.
nilikuwa naangalia tv wakawa wanaonyesha manyani na twiga wametoa africa kule wanauzwa si chini ya dola 5000/= kwa hiyo kumbe inawezekana wengine wametolewa bongo? leh!!
 
Mie mwenzenu nasikia kulia jinsi tunavyoibiwa!
Piga simu A lady....Hata vilio husikilizwa!
Btw Kiduku ndo mchezo gani huo?Kuna mwenye video ya huo mchezo atuwekee hapa?Huwa nasikia hata JK hucheza hiyo kiduku.
 
ray umeongea mawazo yangu, miongoni mwetu wapo waoga na wasiotaka mabadiliko, miongoni mwetu wapo wanaoridhika na vitu vidogo, miongoni mwetu wapo wasiojali na wasiojua kuunganisha mtiririko wa matukio ya kisiasa na jinsi yanavyoathiri maisha ya kila siku.
 
Back
Top Bottom