Bongo movies bwana, du!

misnomer

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
200
69
Irene+Uwoya%252B+JB.JPG
 
Kawaida tu hapo kwa nyuma wapo zaidi ya watu 10 wanawaangalia na usikute ndikumana na yeye alikuwepo anaangalia mali zake!
 
Uzuri wa Movies ni kwamba ikikamilika km hapo mdau unaona hatari saaaaaaaaaana, lkn ukion behind the scene yaani wakati wanatengeneza hiyo movie huku nyuma ya camera kuna watu km ishirini na zaidi na hiyo scene hurudiwa rudiwa mara kibao tuu ili kupata scene machachari. Ushidhani kwamba walikuwa peke yao hahahaha so siyo ya kutisha km mdau unavyodhani
 
Kawaida tu hapo kwa nyuma wapo zaidi ya watu 10 wanawaangalia na usikute ndikumana na yeye alikuwepo anaangalia mali zake!

Wakati owoya mwenyewe alikwisha sema kuna vitu huwa anatakiwa kufanya ila inabidi amtoe jamaa nje kwanza ili aweze kuwanya ktk muvi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom