Bongo movies bhana...

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Pengine zinafurahisha lakini staili na ubunifu Zero...naangalia hizi filamu zetu za nyumbani..mara namsikia mwongozaji akiongea "live" weee ondoa pikipiki yako hapa..akimtaka mwendesha pikipiki atoke eneo ambalo wanafanyia shouting..

Kuna hii nyingine nimeona imerushwa Channel Ten, wanajaribu kuonyesha kimwana yupo mateka akiwa na jamaa Mlemavu (maeneo machafu)...mwendelezo wa tukio, hapo hapo mwanadada huyo anaoenkana tena akiwa amebadilisha mavazi mapya na amejiremba utafikiri alikwnda mapumzikoni na si mateka..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom