Bongo Movie ya (MOSES).Imedhalilisha sana wanawake!!

kama unahisi unachokihisi ktk ile movies basi ujue ujumbe umefika kwa walengwa,kazi ya fasihi ni kufundisha,kukosoa,kuelimisha,kulaumu so ujumbe alioukusudia kanumba umefika palipo hitajika,ngugi wa thiong anasema ukisoma kitabu chake mpaka mwisho alafu hujaelewa basi wewe sio hadhira wake(ujumbe haukuhusu)waliotendwa na wanawake wameielewa vizuri sana ile movies.
 
Tunga yako na wewe udhalilishe wanaume.

Mkuu,
Suala hapa siyo kufanya jino kwa jino bali kusahihishana.

Mimi niipoanza kuiangalia tu nilihisi kukosekana kwa umakini katika kutunga hadithi na hata script.Nikawasamehe maana wengi wa hao vijana viwango vyao vya elimu ni vya chini sana kulinganisha na maendeleo ya kidunia.Nilishangaa nilipoona toka sinema inaanza Kanumba kakariri akina Plato, Shakespeare na wengineo ili ati kuipa makali hoja yake anayotaa kuijenga! Hapo ndio nikaona ujinga zaidi wa yule aliyetunga mchezo ...kwamba kama aliweza kuingiza dhana za philosophers hao katika kujenga hoja za "Moses" kudhalilisha wanawake ...basi kuna disconnect somehow..ama kwenye ubongo wake na uelewa au katika malezi yake na hali ya maendeleo ya sasa ya kujenga taswira nzuri ya maelewano, upendo, amani nk. Ila pia nilidhani huenda kadiri sinema itakavyoendelea basi ataelekea kuonyesha kurekebisha hali hiyo.... ila sikuwa na uvumilivu kuangalia mpaka mwisho maana ilini bore sana.

Ushauri kwa watunzi wa michezo na movies kama hii ya Moses, basi muwage mnatafuta watu wa kuwafanyieni review ya hizo hadithi zenu ili hata kama unataka kuonyesha taswira ya unyanyasaji isiwe kijinga kama ilivyo kwenye "Moses".

Pia waepuke kukariri sana maneno ya kiingereza kutoka kwenye vitabu..bali wakariri scripts za mchezo.Kwa msomaji wa vitabu hivyo vya kiingereza au mtu aliye fluent katika kiingereza kwa kweli hizi sinema za akina Kanumba wanaojikakamua kutema "ung'eng'e" kwa kukariri vitabuni unatia kichefuchefu badala ya kuwapa heshima! Wanatakiwa "wasizidishe"- wana overdo hadi inaondoa ladha.

La mwisho , basi sub titles nazo mtafute mtu makini awasaidie kunyoosha kiingereza maana nazo zinatia aibu.Mjue sinema zinaonyeshwa hadi nje ya nchi thanks to MNET. Itafanya watu wazidi kuamini kuwa Watanzania ni vilaza kumbe kuna watu waliotulia sana kwenye kila kitu.
 
Niione wapi ndugu yangu mpaka ifike huku mpitimbi si atakuwa kashatoa nyingine nitumie basi niiangalie
Dena Amsi
P.O. box MPITIMBI
RUVUMA

DA unanipa mtihani mgumu sana!! We ukija Dsm kwa likizo nistue tu nitakutaletea, isitoshe mov yenyewe GB4 siwezi hata kuiattach kwa mail...na kweli mwezi huu analeta muv nyingine kashirikiana na mnigeria!! Sijui kanumba anaona sifa manake kasema kila mwezi atakuja na muv mpya!!
 
mkuu well said!!
 
Kwani bahasha moja sh ngapi bana na wewe au umeshasahau mambo ya posta??
 
IiUpload kwenye net basi na sie wengine tuone!!?
 
Kwani bahasha moja sh ngapi bana na wewe au umeshasahau mambo ya posta??

DA hapa suala sio bahasha!! huo mzigo utatumbukizwa kwenye sanduku namba gani??halafu hadi zifike MPITIMBI zitakuwa zishatoka muvi nyingne 2
 
Mkuu fasihi imekupita pembeni, ile move inamaana kubwa sana.
Jaribu kusearch ktk mitandao mbali mbali utaona wauaji wakubwa kwa ukatili wanawake au wanaume au hata watoto walipata athari utotoni kwa vitendo walivyoona au kufanyiwa.
Ulicho kiona pale ktk move maana yake ile ilikuwa ni kawaida ya mama kanumba ikamuathii mtoto.
Be careful na unachofanya mbele ya mtoto wako
 
Hii ni kawaida ila ukiambiwa wapo wanaofanya haya utasemaje sasa hujui duniani humu kuna kila aina ya kitu

Ni movie na waachie walete mambo tofauti sababu lazima ujue haya yanatokea na I hope wanayoyafanya wataacha
 
Back
Top Bottom