Bongo Movie wamsusia Wema msiba

Wanamchafua bwana si wajua kuelekea 2015 tutaona mengi na kusikia pia.
Kama dem yupo uchi why muheshimiwa hata chuchu asishike ye anune tu haaaaa.

Umeona eeh...hamna ushirikiano kabisa
 
Wewe nae nilikwambia usipojipanga, ndo ufanye ujiunge insta, maana wambea wote tunapatikana uko

Tokea huyo kamanda afungiwe insta means nothing to me aiseee,sijui atajipanga lini arudi
 
Shoga yako Dinazarde anapenda umbea vitendea kaz hana, anatutia aibu anashundwa hata kujua yanayojir instagram, sasa mimi nilimwambia jipange yeye anasema team ukweli

Mi napenda umbea wa kuletewaa ndio mtamu kweliii
 
Last edited by a moderator:
????
Wengine hatujaipata hio. Tugawie huo ubuyu

Nasikia imetokea jion ya leo uko arusha sakina, joka aina ya chatu lilikutwa mlangoni ndani ya geti limefunikwa kitambaa cheupe na maneno ya kiarabu na wafanyakazi wa ndani ya hiyo nyumba, kwa mshtuko wakampigia simu boss wao kumjulisha kuhus huyo nyoka, cha kushangaza kama sio kusikitisha huyo boss akawaambia wasimuue huyo nyoka ni mtoto wake wa kwanza, nasikia hilo joka lilitokea chumbani kwa huyo mama, na inasemekana huyo mama ni tajir sana anamilik kampuni ya clearing n fowarding pamoja n mali NY engine
 

Attachments

  • 1402000217474.jpg
    1402000217474.jpg
    56.9 KB · Views: 104
Back
Top Bottom