Bongo kweli Elimu Imeshuka

Kichankuli

JF-Expert Member
Dec 18, 2008
887
189
Nakumbuka mwaka 1995 wakati tumeingia mwaka wa kwanza Chuo Kikuu cha Dar es salaam sehemu ya Mlimni, kulikuwa na Fresher mwenzetu aliyekuwa Kitivo cha Uhandisi; jamaa alikuwa (wa kabila la Kizaramo) alikuwa bonge la yoooo kwelikweli. Siku moja tukiwa kwenye makorido Ishomire mmoja akalipuka na kusema, nanukuu, "This is very strange, ama kweri erimu Tanzania imeshuka; mpaka Wazaramo wanajiunga na Chuo Chikuu!!!" mwisho wa kunukuu.
 
Kwa mtazamo wa huyu jamaa ni hatari!! Atakuwa alisemaje Mkwere kuwa rais??:eek:
 
Dark City, mkwere alikuwa rais mwaka huo wakati jamaa anaonge? Umeuona mwaka original thread?

Mkuu, niliuona vizuri tu. Nilichomaanisha ni kuwa kwa mtazamo wa huyo jamaa (Nshomile), wakati mzee wa Kikwere anaukwaa urais (2005), huyo jamaa atakuwa alitoa maneno gani?
 
huo ni upuzi wa hali ya juu, ila nataka kusema kuna baadhi ya watu hadi leo wakiona mtu wa kabila fulani ana PHD huwa hawaamini kama kaipata kihalali,hata kenywe biashara kuna baadhi ya makabila wanajiona wao ndio wanastahili kufanya biashara wengine sio jadi yao,huu ujinga umepitwa na wakati
 
Back
Top Bottom