Bongo kuna vivazi balaa

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
attachment.php


attachment.php


Nawatakia weekend njema maana yangu inaanza leo atiii...
 

Attachments

  • DSCF0418.JPG
    DSCF0418.JPG
    46.2 KB · Views: 982
  • K-Lynn.jpg
    K-Lynn.jpg
    51.9 KB · Views: 713
asante na wewe pia uwe na w/end njema....badae basi tukutane savannah...sawa?
 
watoto hawa mbona wanitisha mieeeee..haki ya mungu nabata ushungu
 
Malaki 2:15, 16
Kwa hiyo jihadharini roho zenu; mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana. Maana mimi nakuchukia kuachana, asema BWANA.


Hii nzuri dada.....
 
hiyo mipaja ukisugua chenga mbili tatu unabetua mpira unaupeleka juu unatia kichwa bao
 
Malaki 2:15, 16
Kwa hiyo jihadharini roho zenu; mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana. Maana mimi nakuchukia kuachana, asema BWANA.


Hii nzuri dada.....

hata mie nimeipenda hiyo-----------inapendeza
 
hiyo lami kuelekea mkoani mbona kama haijasindiliwa vizuri au macho yangu:rant::spy:
 
Back
Top Bottom