Bongo kuna demokrasia bana!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,168
View attachment 63710
Mitaa ya Mbezi Barabara ya Kawe-Africana , jamaa nafikiri alitembea kwa muda mrefu sana akaamua kupika ugali kwenye pavement bila bugudha toka kwa mtu yeyote.
Barabara hii ukitaka mahindi ya kuchoma ndo penyewe utafikiri ukoMbinga!
 
Mambo ya sisiemu hayo mkuu.
Full amani yani.
Wangekua wale jama wa maandamano wangemwambia alipe kodi!
 
uchafu na ujingwa .. Hakuna mwenye uchungu na nchi.. Watu hawapendi shule wewe unategemea nini?
 
tuna maji ibao ila kitendo cha kusafisha barabara na kuondoa vumbi barabarani tu seriali sijui manispaa imeshindwa.. Mimi naweza kusema kuwa hatuna viongozi
 
yaani kuuza mahindi chni ya umasikini mzito tena barabarani ninyi ndo mmeona cha kujivunia kweli elimu haiongezi busara.
 
Back
Top Bottom