Bongo igeni na kivazi hiki!!

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
JORDANNEW-682A_1263892a.jpg
 
Verry easy unafungua hicho kikamba tu unaendelea na shughuli zako!:wink2:
 
Hapana. Alipigwa chini, akavimba juu...........

MPIGAJI: Peter Andre (Mwimbaji Mysterious girl) na Mpigwaji: Katie Price-Model.
jordan_pregnant2.jpg


Matatizo ya kuowa wanawake/wanaume waonyesha mavazi. Aibu zao ziko makalioni.
Is it not nyama choma na bia?
 
Ahhhhh! Hili nalo ni vazi?

Hivi unasema kweli? Amevaa nguo huyu kimwana?
Mbona mimi siioni au ndio ile hadithi ya mfalme na yule mtoto aliyeshindwa kustahamili na ilimtoka tu..."mfalme yuko uchi!!"
 
Hapo ni miaka kadhaa ilopita nadhani manake namuona yuko na Peter Andre ha[po
 
Back
Top Bottom